Hiyo iliitwa ... "Journey to the West" .... wengine waliipachika jina wakaiita ... "Monkey" sababu ya yule star wake alofanana na monkey ...View attachment 402172kuna hii pia...ilikua na jina lake ila nimelisahau...adi wahusika nilikua nimeweka majina ya kichwani enzi izo ila nimesahau yote [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hebu tueleze siri ya mafanikio yako.Kweli haya mambo muhimu kuflashback yeye anazingua kinoma Bora angekausha tuu
Nilikuwepo hicho kipindi, ila tu nalikua mdogo sana.Haya tulia basi dogo.....soma vimbwanga vyetu vya miaka hiyo wakati ukiwa bado kabisa uwepo
Uswahilini walikua wanaiita 'shivo'Hiyo iliitwa ... "Journey to the West" .... wengine waliipachika jina wakaiita ... "Monkey" sababu ya yule star wake alofanana na monkey ...
Yaan nshaitafuta sana ili niirejee tena but to no avail .... yeyote mwenye kufahamu website yoyote ambamo nitaipata anijuze ...
Hahahha umenikumbusha mbali enzi hizo TV tulikua tunaenda kuangalia kwa jiranTamthilia ya The passion, nmemkumbuka timmy, bibi mchawi tabitha, kay, miguel, simone
Pia The crow
Sasa wewe jumong si ya juzi tujumong...naikumbuka xna hii tamthilia ikikuwa inarushwa ITV nilikuwa silali kabixa mpka nione nadhani walikuwa wanaonesha j4/j5 na alhmas..ta eso ..maro .jumong mwenyewe na ssuhinho daaaah dada alikuwa mzuri aiseee...nilimpendagaa
Mtangazaji alikuwaga mama hivii alikuwa anavutia sana mwenye picha yake tafadhalii
Journey to the west!View attachment 402172kuna hii pia...ilikua na jina lake ila nimelisahau...adi wahusika nilikua nimeweka majina ya kichwani enzi izo ila nimesahau yote [emoji2] [emoji2] [emoji2]
swadakta .... kumbe ulikuwa pia mfuatiliaji .... websites gani niipate mkuu .... nahitaji kui-downloadUswahilini walikua wanaiita 'shivo'
ni websites gani nitaipata mkuu?Journey to the west!
ili kua series iyo
inapo kua imeisha baada ya maandishi walikua wana andika copyright (c) 1980 ya kitambo sana hii
yaan sana tu madam t ..... hebu nisaidie kupekua pekua ni websites gani nitaipata maana nishaitafuta sana mamiiHaaa haaa! Kumbe wapenzi wa hii tuliukwa wa kutosha eeh
revola pekke yake kwan marashi yake ni tulivu na huniacha fresh mchana kutwaaa ah ah ah daaππππnilikua nakapenda kale kadada..kiongozi kuna tumaini meshack kipindi cha musikiWana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.
Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
Watoto show
Ilikuaga inaonyeshwa itv, zamani sana lakini tena jumapili asubuhi.swadakta .... kumbe ulikuwa pia mfuatiliaji .... websites gani niipate mkuu .... nahitaji kui-download
Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.
Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
revola pekke yake kwan marashi yake ni tulivu na huniacha fresh mchana kutwaaa ah ah ah daaππππnilikua nakapenda kale kadada..kiongozi kuna tumaini meshack kipindi cha musiki
Hizi Korean na Chinese dramas zapatikana online ... ndo mana nkaomba kama wafahamu website yoyote ... nmejaribu na naendelea kuitafuta piaIlikuaga inaonyeshwa itv, zamani sana lakini tena jumapili asubuhi.
So sijui kama bado ipo.
Ila jaribu youtube, waweza iona