Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

View attachment 402172kuna hii pia...ilikua na jina lake ila nimelisahau...adi wahusika nilikua nimeweka majina ya kichwani enzi izo ila nimesahau yote [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hiyo iliitwa ... "Journey to the West" .... wengine waliipachika jina wakaiita ... "Monkey" sababu ya yule star wake alofanana na monkey ...

Yaan nshaitafuta sana ili niirejee tena but to no avail .... yeyote mwenye kufahamu website yoyote ambamo nitaipata anijuze ...
 
Kweli haya mambo muhimu kuflashback yeye anazingua kinoma Bora angekausha tuu
Hebu tueleze siri ya mafanikio yako.
Sio siri ni revola
Revola pekee yake?
Ndio kwani marashi yake ni tulivu na kuniweka fresh mchana kutwaa.
 
Hiyo iliitwa ... "Journey to the West" .... wengine waliipachika jina wakaiita ... "Monkey" sababu ya yule star wake alofanana na monkey ...

Yaan nshaitafuta sana ili niirejee tena but to no avail .... yeyote mwenye kufahamu website yoyote ambamo nitaipata anijuze ...
Uswahilini walikua wanaiita 'shivo'
 
jumong...naikumbuka xna hii tamthilia ikikuwa inarushwa ITV nilikuwa silali kabixa mpka nione nadhani walikuwa wanaonesha j4/j5 na alhmas..ta eso ..maro .jumong mwenyewe na ssuhinho daaaah dada alikuwa mzuri aiseee...nilimpendagaa
Sasa wewe jumong si ya juzi tu
Mtangazaji alikuwaga mama hivii alikuwa anavutia sana mwenye picha yake tafadhalii
 
View attachment 402172kuna hii pia...ilikua na jina lake ila nimelisahau...adi wahusika nilikua nimeweka majina ya kichwani enzi izo ila nimesahau yote [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Journey to the west!
ili kua series iyo
inapo kua imeisha baada ya maandishi walikua wana andika copyright (c) 1980 ya kitambo sana hii
 
Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.

Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.
revola pekke yake kwan marashi yake ni tulivu na huniacha fresh mchana kutwaaa ah ah ah daa🙂🙂🙂🙂nilikua nakapenda kale kadada..kiongozi kuna tumaini meshack kipindi cha musiki
 
swadakta .... kumbe ulikuwa pia mfuatiliaji .... websites gani niipate mkuu .... nahitaji kui-download
Ilikuaga inaonyeshwa itv, zamani sana lakini tena jumapili asubuhi.

So sijui kama bado ipo.
Ila jaribu youtube, waweza iona
 
Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place of Gold, 21 jump Street, Time trax, movie ya V, Rino Renz, vichekesho Kama Fresh Prince of bell air, family matters, Living Single ya Queen Latifa, Tausi ya mjuba, Vitimbi(masakuu, Ojwang' Othrong'ong'o) Vioja Mahakamani, Mambo hayo ya kina Waridi, Sumbi, bocha na Aisha. Pia kulikuwa na Tamthiliya kama The young and the restless, Sun seat beach, na Acapulco bay.

Aidha nakumbuka tulikuwa tunaangalia UEFA kupitia CFI(Canal France International). Matangazo nakumbuka kama Revola, komoa, lotion ya Jambo, hebu vingine mnisaidie CTN na DTV. Je kipindi kile watangazaji unawakumbuka? Wa ITV, CTN, na DTV. Mimi kwa itv namkumbuka Suzan Mongi nilimpenda sana sana. Karibuni tuflash back jamani.

Mambo hayo,
Dark Justice
Robocorp
Renegade
Timetrax
A lot to remember.
 
revola pekke yake kwan marashi yake ni tulivu na huniacha fresh mchana kutwaaa ah ah ah daa🙂🙂🙂🙂nilikua nakapenda kale kadada..kiongozi kuna tumaini meshack kipindi cha musiki

Ile sauti yake tu yule dada wa revola, dah sio mchezo
 
Ilikuaga inaonyeshwa itv, zamani sana lakini tena jumapili asubuhi.

So sijui kama bado ipo.
Ila jaribu youtube, waweza iona
Hizi Korean na Chinese dramas zapatikana online ... ndo mana nkaomba kama wafahamu website yoyote ... nmejaribu na naendelea kuitafuta pia
 
FB_IMG_1470802470336.jpeg
 
Hili ndilo tangazo la christmass ambalo hata coca cola wenyewe wanakili walipitiliza ubunifu.................lina mzuka wa hali ya juu. Kama uliliona utotoni miaka ya 1996 basi unaweza tokwa na chozi maana linarejesha kumbukumbu nyingi sana za miaka ile wakati huo sikukuu ilikuwa ni raha sana tofauti na sasa.
 
Attachments

hii ni intro scene ya commedy ya "MARTIN". Hapo ni martin amejitengeneza kama mzee otis. Mzee mtata sana huyu hapendagi dharau kutoka kwa vijana kama hapo huyu kijana kachezea kichapo toka kwa mzee otis na wazee wenzake hadi kakoma mwenyewe. Yaani yeye ugomvi wake upo na vijana watukutu hakubali hata sikumoja kijana akosee adabu halafu amuache bila kumnyuka. Ukitazama mwishoni utamuana martin mwenyewe akiwa na mkewe Geena, shineyney (martin akijivalisha kama mdada mkorofi mwenye rasta), then utamuona martin bibi (akijivalisha kama mama yake martin) ila kuna wakali wawili tena yaa " Dragon fly jones" , Jerome na Mr. hawai hao nitawaletea clips zao soon muone jinsi martin alivyokuwa mkali kwenye kujibadilisha badilisha kuwa character wengine.
 
Attachments

Back
Top Bottom