Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Nakumbuka vipindi kama Mambo hayo na Maisha pale ITV na kwa upande wa Channel Ten kulikuwa kuna vipindi kama Nani ni nani na Muziki motomoto.
Pia dada yetu Maria Sarungi alikuwa na kipindi kinaitwa "Facets" na bila kumsahau Jenerali Ulimwengu na kipindi chake cha 'Jenerali on Monday'

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi hukuikuta DTV?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haikuwa bahati yako unakumbuka walikuwa washindi wanaitwa itv wakifika wanafunika kofia 12 halafu wanaanza kukuuliza useme ulichokumbuka kilichomo ndani ya kofia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka Sana, ilikuwa unahitajika uwe na sharp memory kukumbuka kilichomo ndani ya kofia. Mwenyewe nilikuwa najaribu
 
Movie ya Vicent pale ITV jamaa alikua ana sura ya simba....
Katuni ni Jungle
Tom and Jerry
Mieleka CTN kina Hulk Ogan, The big show, Sting n.k
Vitimbi mama Kayai, Husna
Na mengine mengi...
 
Movie ya Vicent pale ITV jamaa alikua ana sura ya simba....
Katuni ni Jungle
Tom and Jerry
Mieleka CTN kina Hulk Ogan, The big show, Sting n.k
Vitimbi mama Kayai, Husna
Na mengine mengi...
Umetisha sanaaa mwana imekaa poa sana
 
ER (Emergency room) ilikuwa tamthiliya ya madaktari wakiwa katika harakati za kuokoa maisha ya watu, Mimi Mpaka leo huwa natazama episode ambazo sikuona.
Kupitia channel zipi
 
Back
Top Bottom