Mkuu hivi hukuikuta DTV?Nakumbuka vipindi kama Mambo hayo na Maisha pale ITV na kwa upande wa Channel Ten kulikuwa kuna vipindi kama Nani ni nani na Muziki motomoto.
Pia dada yetu Maria Sarungi alikuwa na kipindi kinaitwa "Facets" na bila kumsahau Jenerali Ulimwengu na kipindi chake cha 'Jenerali on Monday'
Sent using Jamii Forums mobile app
DTV niliikuta. Ila nilikuwa napenda kutazama Channel ten.
Basi uko vizuri mkuu, CTN ilikuwa poa sana pia maana duuh vipindi vya movie kila ifikapo saa 8 mchana ilikuwa balaa sanaDTV niliikuta. Ila nilikuwa napenda kutazama Channel ten.
Nakumbuka C2C,DTV na CTN
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka Sana, ilikuwa unahitajika uwe na sharp memory kukumbuka kilichomo ndani ya kofia. Mwenyewe nilikuwa najaribuHaikuwa bahati yako unakumbuka walikuwa washindi wanaitwa itv wakifika wanafunika kofia 12 halafu wanaanza kukuuliza useme ulichokumbuka kilichomo ndani ya kofia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Tangazo la chai jaba na lile la jambo lotion
Pia Rarp B sijaona CTN muziki.CTN kipindi cha Muziki Rahma Aziz na Nick Ngonyani
Habari ITV Susan Mongi