Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Sauda kilumanga alichaguliwaga kwenda south Africa kuigiza thamthilia ya is dingo watu wakauliza je atakubali kupigwa denda
Hahaha alifanikiwa??
 
Daaah Mzee umenikumbusha mbali Sana aiseeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kitamboo sana, hivii hauna ka video kake?
 
Daah kitambo sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka hauna matangazo mengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Bold and the beautiful
Egoli
Acapulco bay
Days of our lives
Tamthilia ya tausi
Isidingo
Cartoon (Deedee na Dexter)
Zembwela na Maxi
Baadae zikaja zikaanza....
La mujer de mi vida (Babarita, Antonio Adolfo, Catusca na Consuela)
La mujer di Lorenzo.
 
Umetisha Sanaa mzee [emoji91][emoji91]
 
Pia Kuna Tamthilia ya ITV ya The days of our life yaani ilikuwa haiishi Kama isidingo vile
 
Sunsent Beach ilikuwa nzuri enzi izo walikuwa wanaonyesha matukio yote walikuwa hawakati
Kifuatacho ITV, yule dada muhindi ndo alikuwa anasema kifuatacho ITV na kutoa muhtasari kidogo kama ni tamthilia, nakumbuka tamthilia ya Acapulco, na moja ilikuwa kali sana nimesahau jina ila ina neno beach!
 
The young and the restless
 
Nilikuwa napenda sana kusikiliza zile instrumental za ITV zilizokuwa zinapigwa sambamba na wakati wa kuonyeshesha ratiba za vipindi kabla matangazo hayajaanza rasmi jioni, sijui naweza kuzipata wapi...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…