luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Dah mkuu icho kipindi cha nani ni nani alikuwepo gwiji mmoja Frank Mtao jamaa alikuwa makini sanaaNakumbuka vipindi kama Mambo hayo na Maisha pale ITV na kwa upande wa Channel Ten kulikuwa kuna vipindi kama Nani ni nani na Muziki motomoto.
Pia dada yetu Maria Sarungi alikuwa na kipindi kinaitwa "Facets" na bila kumsahau Jenerali Ulimwengu na kipindi chake cha 'Jenerali on Monday'
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadae akaja Dativas mango akawa ana.simamia kipindi
Pale chanel.ten.pia kulikuwa na kipindi cha muziki na Buzz most wanted kilikuwa kinaruka jmosi alikuwepo.mdada mmoja white ivi alikuwa cute sanaa
Channel ten zaman ilikuwa ina watu makini sanaaa