Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Zaman raha Sana Kuna matangazo pia yalibamba Kama ya sigara SM"sigara maalum inayoburudisha kwa hali ya hamisi ya mtanzania iliyopendekezwa wewe vuta moja vuta Sweet menthol ni fresh ni poa ni yako hali halisi ya mtanzania ni fresh poa ni yaaako...Kuna la lotion ya Revlon Kuna lile na sabuni "omary ni sabuni gani unatumia kazi kujikuna tu ngwaraangwaraa ebu chukua hii peleka kule.....jaman lipo la sabuni ya kuogea mzee majuto anamshangaa mwanamke mpaka anatumbukia kwenye swimming pool.
mkuu umepiga mule mule we had the same feeling da uzee unatunyemelea saizi
 
1994!!🤔..ngoja niendelee na comments
 
Kifuatacho ITV, yule dada muhindi ndo alikuwa anasema kifuatacho ITV na kutoa muhtasari kidogo kama ni tamthilia, nakumbuka tamthilia ya Acapulco, na moja ilikuwa kali sana nimesahau jina ila ina neno beach!
Yule dada muhindi bonge anaitwa Mitchell fortado kama sijakosea
 
Dah mkuu icho kipindi cha nani ni nani alikuwepo gwiji mmoja Frank Mtao jamaa alikuwa makini sanaa

Baadae akaja Dativas mango akawa ana.simamia kipindi

Pale chanel.ten.pia kulikuwa na kipindi cha muziki na Buzz most wanted kilikuwa kinaruka jmosi alikuwepo.mdada mmoja white ivi alikuwa cute sanaa

Channel ten zaman ilikuwa ina watu makini sanaaa
Unamkumbuka RUFF"B" wa chanel 10 sijui sasa ivi yuko wapi?
 
Back
Top Bottom