Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

View attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje

Jamaa anafahamika kama Steve urkel kwenye tamthilia ya Family Matter ... namwangalia kila siku 1930h huyo jamaa kwenye DSTV kwenye Channel yao ya CBS Drama

Nakumbuka 1995 DTV walikuwa wanaonesha EPL bure na ndio mwaka wangu wa kwanza kuanza kushabikia timu za England

Safi sana
 
Kabla ya Isidingo iliyoanza mwaka 1998, ITV kulikuwa na kitu kikali kinaitwa EGOLI - Place of Gold (1992-2010); humo kulikuwa na mrembo mmoja namfia sana anaitwa Adella ... ni nouma
 
Ha ha asee ilikuwa na kasound track flan hvi
Neighbor, everybody need good neighbor........ Halafu kulikuwa na mziki wa kibongo unasumbua enzi hizo sijui nani kapiga. Kukurukakala zako wewe zitakuponza acha we acha we, kukurukakala zako wewe zitakuponza brother sister.
 
Enzi hizo nakaa M/mala natoka shule pale Mwinyuma nakuta watu kibao...!!kuuliza Siti kaja nkamuambia konda nshushee...
Mbio mpk kwao na nisimuone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli tulikua zama za kale
 
France 98 Dtv walionyesha game zote huku Rick Martin akisumbua na Wimbo wake.. Go go go ale ale ale, go go go ale ale aleee
 
Jamaa alikua anaitwa nani mkuu
Jalel White au Steve Aquel
1474375620937.jpg
 
Jaman mimi ni mpenz wa tamthilia sana je ninunue kingamuz gan ambacho naweza pata tamthilia bandika bandua kama ilivochanel za michezo? Msaada plz

Go for DSTV hata kile kifurushi cha bei ya chini kabisa ... wanakitu inaitwa TELEMUNDO na nyingine nyingi
 
Msomaji habari wako ni RUKIA MTIGWA haya sasa kukawa na JACKPOT BINGO mzee mengi kapiga pesa mda ule du wale wanyange sasa yani kweli umri si rafiki enzi za kina fina mango, monalisa nk ukisikia Bingooooo jua mtu kala mtu kaliwa
 
Sijawahi kutazama telenovela za ukweli kama Camila na La muje de Lorenzo,tangu hapo sijaangalia tena,kwa matangazo la jambo lotion lilitisha...na wewe je? Mimi naitwa jambo doogoo
Natamani ITV wairudie tamthilia ya Camilla, sijui nawapaje huu ujumbe ilikuwa bonge la tamthilia ile.
 
Back
Top Bottom