Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Sijawahi kutazama telenovela za ukweli kama Camila na La muje de Lorenzo,tangu hapo sijaangalia tena,kwa matangazo la jambo lotion lilitisha...na wewe je? Mimi naitwa jambo doogoo
Aiseee la muje de mivida nilikua naifuatilia lakini hats sielewi wanazungumzia mini ila maajabu ni kwamba unaweza kumuadisia mwenzako mwanzo mwisho na mnaelewana vizuri tu.
 
Hii movie ilinifanya niwe mpagani maana nilikuwa najificha uvunguni nisiende Misa asubuhi....

Ila kuna siku nilinyooshwa
Aiseee basi TV huwa zinashep watu kwa mfanano bila kujua hii movie ilikua inanifanya niende ibada ya kwanza au ya NNE sababu ilikua usipoenda church ni kama kesi ya uhaini home na movie yenyewe inachezwa SAA tatu dah!!!
 
bold-and-the-beautiful-soap-debuts-03-23-1987.jpg
Hahahaha shukrani mkuu
 
Kama ulielewa Africa journal kipind kile Leo hii uwe kigor wap na wap? Usituibie hapa
Dah Africa journal nilikua naona wanaongea tu wakiwa wanatembea watangazaji Wa Kenya ila walikua na coverage ya Africa nzima lugha ndio ilikua jipu.
 
Ilikuwa na Adult scenes nyingi sana! Hata kimaadili haikufaa under age kuangalia mfano kuna jamaa anaitwa Cole alikuwa anamkula mama mkwe wake, denda nje nje!
Scene za style hiyo nilikua najitumisha nje au unajifanya umeng'atwa na mdudu mguuni au unajikuna au kuangalia paa ilimradi tu ukwepeshe macho.

Ila watoto wa saivi ndio anakuuambia hata hawafanyi vizuri kama kwenye ile movie nyingine.
 
Back
Top Bottom