chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Nani anakumbuka SHIVOooooo!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What's E9Bila shaka hill ni E9
Marehemu Ochola" ....Hii ilinitengua mbavu ya kushotoVoja mahakamani jamani bavu zangu mie
Hahaa duh kumbe nawe unaikumbuka aiseeWakuu itifaki lazima izingatiwe msimsahau shivooo kwenye ile tamthiliya ya kichina kama sikosei inaitwa a journey to the west
Commercial ya lotion jamaa alikua anaisema.What's E9
Hii naikumbuka ilikua ITV kila jumapili asubuhiView attachment 402172kuna hii pia...ilikua na jina lake ila nimelisahau...adi wahusika nilikua nimeweka majina ya kichwani enzi izo ila nimesahau yote [emoji2] [emoji2] [emoji2]
AaamitaphaaNani anakumbuka SHIVOooooo!!!
La mujer der mivida...sijui nimepatisNani anamkumbuka Tonito Babaritha Antonio???????
Aiseee la muje de mivida nilikua naifuatilia lakini hats sielewi wanazungumzia mini ila maajabu ni kwamba unaweza kumuadisia mwenzako mwanzo mwisho na mnaelewana vizuri tu.Sijawahi kutazama telenovela za ukweli kama Camila na La muje de Lorenzo,tangu hapo sijaangalia tena,kwa matangazo la jambo lotion lilitisha...na wewe je? Mimi naitwa jambo doogoo
Hii movie ilinifanya niwe mpagani maana nilikuwa najificha uvunguni nisiende Misa asubuhi....Nani anakumbuka SHIVOooooo!!!
Mkuu umebonyeza penyewe hahaaaLa mujer der mivida...sijui nimepatis
Aiseee basi TV huwa zinashep watu kwa mfanano bila kujua hii movie ilikua inanifanya niende ibada ya kwanza au ya NNE sababu ilikua usipoenda church ni kama kesi ya uhaini home na movie yenyewe inachezwa SAA tatu dah!!!Hii movie ilinifanya niwe mpagani maana nilikuwa najificha uvunguni nisiende Misa asubuhi....
Ila kuna siku nilinyooshwa
Hahahaha shukrani mkuu
Dah Africa journal nilikua naona wanaongea tu wakiwa wanatembea watangazaji Wa Kenya ila walikua na coverage ya Africa nzima lugha ndio ilikua jipu.Kama ulielewa Africa journal kipind kile Leo hii uwe kigor wap na wap? Usituibie hapa
Hahahahaha acha kabisa.Hii movie ilinifanya niwe mpagani maana nilikuwa najificha uvunguni nisiende Misa asubuhi....
Ila kuna siku nilinyooshwa
Scene za style hiyo nilikua najitumisha nje au unajifanya umeng'atwa na mdudu mguuni au unajikuna au kuangalia paa ilimradi tu ukwepeshe macho.Ilikuwa na Adult scenes nyingi sana! Hata kimaadili haikufaa under age kuangalia mfano kuna jamaa anaitwa Cole alikuwa anamkula mama mkwe wake, denda nje nje!
Steve huyoView attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje