Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Nani anakumbuka matamasha ya CORA africa toka bondeni aisee yalikua yananoga.

Nakumbuka kwa Mara ya kwanza Tanzania tuliwakilishwa na msanii flani wa kike matata na kibao chake cha "ngoma inogilee ngoma imekolea ngoma ya pwani tatata mdundikooo"

Nimemsahau ila alikuaga US na alishaokoka na kuacha secular.
Alikuwa anaitwa Enika., naupenda sana wimbo wake wa baridi kama hii mzuri sana ule wimbo.
 
Nakumbuka kuna kipindi kilikuwa kinaendeshwa na Misanya Bingi, kinafuatilia watu wanaochafua mazingira, yaani kama unakojoa barabarani unarekodiwa halafu zile sehemu za uso na siri zinawekwa kivuli ila hakikudumu sana sijui kiliitwaje kile.
 
Mkuu uko vizuri.
Miss those days when blackberry and iphone were still fruits.
Una maneno mkuu, umenifanya nicheke kweli ilikuwa ni matunda tu, ila kizazi cha sasa kinaweza kukuambia matunda ndio yamekopi majina ya simu, mwe utotoni raha jamani.
 
Una maneno mkuu, umenifanya nicheke kweli ilikuwa ni matunda tu, ila kizazi cha sasa kinaweza kukuambia matunda ndio yamekopi majina ya simu, mwe utotoni raha jamani.
Kizazi hiki cha kuanzia 95++ kina mambo sana hiki kinataka kukimbia kuliko muda wenyewe
 
Kama 1995 hivi
Ilianza Egoli mwaka 1996 mwezi wa tano baadae mwaka 1996 mwezi wa kumi wakabadilsha wakanza kuonyesha Esidingo the need ambayo Saida Kalimanga mtangazaji wa ITV kipindi kile walienda south Africa kucheza ila sikubatika kuona kipande alichocheza
 
John Black, Marlena Evans, Bo brad,Bill, Stefano Dimera,Jenifer, Victor Kiriakis,Hope,Austin,Christina Dimera,Sami Brady,Lucas nk...Haki ya nani ulikuwa hunitoi sebulani ikishaanza
stefano dimera ndio alikuwa the villain yaaani full mafuturistic goggles huyu mzee ni nux
 
Back
Top Bottom