Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Bila kusahau house party
Walikuwa wanaiwekaga CTN
kid-and-play.jpg
kuna kipande anamfundisha kucheza mziki wa monie luv unaitwa its a shame.
 
Yeah na huyo mwanamke alikuwa anafanya mazoezi baadae ndio akaonekana kuelekea bafuni zuri sanaaa
hilo tangazo la pili.....lipo la kwanza kabisa ........mrembo aliyetumika ni mzuri zaidi na nasikia alifariki ndio la pili likatengenezwa.
 
jumong...naikumbuka xna hii tamthilia ikikuwa inarushwa ITV nilikuwa silali kabixa mpka nione nadhani walikuwa wanaonesha j4/j5 na alhmas..ta eso ..maro .jumong mwenyewe na ssuhinho daaaah dada alikuwa mzuri aiseee...nilimpendagaa
hiyo juzi hapa.....miaka ya 2010 bana.....
 
Mkuu ile channel waliyokuwa wakijiunga mwanzo iliitwa TNT nimezicheki sana zile movie maana ilikuwa haman namna ila nikazizoea na nikawa nazipenda zaidi maana uongo kidogo story kidogo action kidogo hapo hapo unakuta movie ni black and white... kuna movie moja demu wa kizungu kipofu akanogewa kupiga story na jamaa garden like mnazi mmoja kipofu alipokuwa akipenda kupumzika akakutana na mtu wakaelewana mno siku ya siku ndugu za mzungu wakamuambia unaelewana na nigga nigga ni watu weusi na hatari sana lakini kipofu hakuweza amini..

Ila kuna movie ya kichaw mtoto anavutwa kwenye TV niliipenda mno Tawi la Mti linajikunja hadi dirishani si mchezo vitu vyote vya ndani ya nyumba vinanyenyuka na kuelea kama sayari dah inatisha
hiyo movie ya mtoto kunyakuliwa na majini na kuingizwa kwenye tv naikumbuka.....hadi wakaja wataalamu wakafunga mitambo.....walipata shida......walinunua nyumba ikiwa imekuwa haunted na majini......walipompata mtoto wao wakasepa na nyumba wakaitosa.
 
Nashaaangaa nyote mnaisahau tamthiria ya comedy inaitwa THE PARKERS.......jamaa m'moja hivi mixer kam john bravo nywele zake halafu inavituko kama katuni vile.
 
Mortal combat sijui spellinv hatar sana, kuna ile v dah hatar sana
 
Advertise ya primier leagur owen anampasia McMannaman anatia kamba mpira ulianziwa kurushwa ndo chanzo cha mm kuipenda lvpool mpka leo ila itv wametutoa mbali kipndi hicho ndo tv ya taifa kwa sisi wa mkoani tulikuwa tunaipata KBC peke yake zama hizo antena kubwa sana
 
Anaitwa Mariam Hassan Nusu Mbongo Nusu Msomali... Alikua anasisimua sana yule dada
Sawa sawa.....ndio maana alikuwa anaonekana kama mkenya.....na watu walihisi ni mkenya......si alifariki nasikia?!
 
Jessy na Backer......daaah nilikuwa nampenda yule dada alivyokuwa ameanza kupendana na msikaji nikaanza kuona wivu.......aisee nilikuwa dogo lakini nilikuwa nahisia za mapenzi juu ya huyo dada Becker.
sorry ni Becca.
 
Katika kipindi cha watoto kulikuwa na kipindi kinaitwa the MARPET SHOW...Tumidoli twa kuvalishwa .....miss piggy......frogy.......sam the parrot.....na wengineo.
 
The vibe... Kama sikosei ilikuwaga bonge la show..
 
2e1d814537348e0597a0c2b7a0795d8e.jpg

hawa mnawakumbuka? Zamani ilikuwaga raha sana ikifika saa kumi nishaoga nakaa naanza kuangalia cartoon ukitaka za yesu kipindi kama hiki unaweka trinity kama cjakosea jina ukitaka mchanganyiko unaweka Chanel ten ndo walikuaga wababe wa cartoons
7c0471cfbdf92e121fd03c6b843b3f79.jpg
 
Back
Top Bottom