Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tangazo la sigara ya sweet menthol, na la air tanzania yalikuwa yakinifurahisha mno, na tamthilia ya days hasa wakina steffano dimela, hope na bow.
Da nakumbuka zamanii
 
Namkumbuka sana Mzee jongo au Ibrahim Raha na bi nyakomba..huyu Mzee alikuwa msanii wa ukweli..huwa simsahau hata kidogo japo alishafariki mida mrefu sana..he made my days..lakini vunja mbavu na dtv pale ndipo ulikuwa unashudia upuuzi wa kiwango cha juu cha king majuto..CTN ndio kituo ambacho ulikuwa ukitaka miziki ya kina kriss kross, queen latifa, swv, boyz ll men, salt n paper, back street boys, coolio, 2pac, TLC, changing faces na wengine wa zamani hapa ndio ilikuwa kwake..pamoja na lile tangazo la Pepsi Jamaa kamkosakosa Kobe..ilikuwa CTN..matangazo ya mobitel na tritel yalianzia CTN..hata alliance air..katuni ya penguin na pinochhio ndani ya dtv..mambo hayo enzi za sumbi na bocha na sinema ya mtoto boga ndani ya ITV..nakumbuka tuliiona pia udsm wakati wa tamasha la watoto mwaka 1996..pia katuni ya Sarah..tamthilia ya tausi mule unawakuta kina Mzee kasri, siti binti kasri, rukia mtoto kindakindaki, Jessica brown, dama, mjuba..old is gold
 
Daaaah mkuu Sheiza umeflashback nikawa nakumbuka mdogo mdogo kumbukumbu ikaja kama niona zamani na hasa hapo ktk music R&B CTN ilikuwa hatari sn nowadays hakuna vipindi kabisa yani
1481790246196.png
nakumbuka waridi na bishanga bashaija ktk mambo hayo
 
Advertise ya primier leagur owen anampasia McMannaman anatia kamba mpira ulianziwa kurushwa ndo chanzo cha mm kuipenda lvpool mpka leo ila itv wametutoa mbali kipndi hicho ndo tv ya taifa kwa sisi wa mkoani tulikuwa tunaipata KBC peke yake zama hizo antena kubwa sana
Zama hizo antena zilikuwa za miiba ya samaki hakukuwa na madishi yani ni full raha aisee
 
mzee anapewa zawadi ya peni na mkewe ilifichwa katika bites.
Yeeeees unajua toka thread hii ianze nilikuwa nawaza comish hii, hivi ilikuwa ni tamthiliya au movie?? Mwenye video yake hata inavyoanza atupie kidogo tukumbuke jamani long time sn tupieni video
 
I wish warudie nyakati hizoooo daaaah
Haaaah haaaah! Africa soccer show chini ya uzamini wa beer ya castle larger wenyewe walipenda kuiita beer balanced to perfection. ITV walikuwa na vipindi kama vya magic moment na Vibe.
 
jamani SUZAN MUNGI Yuko wapi??? she's super beautiful nilikuwa sikosi taarifa ya habari ili nimuangalie tu yeye
 
Huyo alikuwa anaitwa mkali SOSSY B. Kuna kadada mule katika video yake kalivalia top ya rangi ya Pink anaitwa joan nimemuona instagram anauza vipodozi podozi........halafu ile shooting nahisi ilifanyiwa mitaa ya tabata relini maana kwa miaka ile ukiacha ilala sehemu palikuwa panakuwa ilikuwa ni tabata.
Instagram anatumia id gani mkuu
 
Bi Chau na Mzee Small CTN.✅
Raphy B Sijaona-Most Wanted CTN.✅
Stivie Kabuye - Supar Traxx
Young Milionea Jacob Usungu-Rovin DJ.
 
John ngayoma kafariki lini tena jamani???? Uwiiiiiiiiiee uwiiiiiiiiieee yeuwiiiiiiiiiii auwiiiiiiii, udongo utatumaliza jaman uwiiiiiiiiieeeee
Ulikuwa hujui na hili mkuu????
 
Kuna mastaa wengi sana katika ile 21 jump street........yule demu mwafrika ndiye aliyekuwapo katika comedy ya mr. cooper...........halafu ndani mule kulikuwa na jamaa anaitwa bobby akikuwa mzungu fulani hivi anaunywele wa kubana kama wa Lorenzo Lamas.........

Kuna mastaa wengi sana katika ile 21 jump street........yule demu mwafrika ndiye aliyekuwapo katika comedy ya mr. cooper...........halafu ndani mule kulikuwa na jamaa anaitwa bobby akikuwa mzungu fulani hivi anaunywele wa kubana kama wa Lorenzo Lamas.........halafu mkali mwingine mule ndani ni johnny Depp.........
Hebu wekeni picha za 21 jump street duuuuh
 
Lipo Youtube......yaani ikifikaga chrismass najiwekea mwenyewe halafu napretend nimerejea kipindi kile da......yaani lile tangazo lilikuwa na mzuka balaaa
Hahahah hebu nipatie linaitwaje mi njjngie YouTube nilicheki mkuu pls Fanya hivyoo
 
Back
Top Bottom