Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Queen of sword, tayina, the passion, acapulco bay, the bold and the beautiful,tausi, la mujer de mivida, la mujer de lorenzo
 
Jioni ukitoka shule unakuta "Neighbours" kipindi cha tamthiliya ya Australia.
 
Aisee nilikuwa nampenda sana Miriam Odemba kwenye lile tangazo la Revola, mwenye picha ya lile tangazo atusaidie miriam wetu jamani. Huko boarding watu walikuwa wakipia punyeto kwa kuliona hilo tangazo tu..

Enzi hizo husemi nimenunua tv bali unasema nimenunua ITV
 
Jumba LA dhahabu,alcapulco bay,sunset beach,the bold and the beautiful, monkey kweny watoto wetu,pia junior, ghostbusters,...
 
Aisee nilikuwa nampenda sana Miriam Odemba kwenye lile tangazo la Revola, mwenye picha ya lile tangazo atusaidie miriam wetu jamani. Huko boarding watu walikuwa wakipia punyeto kwa kuliona hilo tangazo tu..

Enzi hizo husemi nimenunua tv bali unasema nimenunua ITV

Haha mtoa mada atakua analijua vizur,avatar name yak inajiidhiirisha
 
Tulicheki English PL kupitia DTV, wakati huo nikiwa mshabiki nguli wa Newcastle. Enzi hizo namkumbuka timu ikisheheni waafrica wengi. kina caspilillar.
 
Tausiii ndege wanguu!!ndege wangu wa fahari!

Nakumbuka siti binti Kasri alivyokuja dar kwao pale kwa manjunji M/mala watu tulivunja ukuta kwenda kumshangaa...!!

Asante mleta Uzi!

Kumbe Sitti Bint Kasri alikuwa mtanzania ? Nilikuwa nafikiria ni Mmombasa. Alifariki mwaka gani vile? nasikia it was a suicide
 
Kumbe Sitti Bint Kasri alikuwa mtanzania ? Nilikuwa nafikiria ni Mmombasa. Alifariki mwaka gani vile? nasikia it was a suicide
alikua mtu mtz na kama sikosei alikua mtu wa tanga,nimesahau mwaka sahihi aliojinyonga huyu Dada

alikua ana ndugu zake pale mwanayamala
 
alikua mtu mtz na kama sikosei alikua mtu wa tanga,nimesahau mwaka sahihi aliojinyonga huyu Dada

alikua ana ndugu zake pale mwanayamala
Du RIP ...I used to like her a lot kama sikosei jina lake alikuwa anaitwa Kibibi somebody.She was one of the most best actresses katika ukanda huu
 
Back
Top Bottom