Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Aliitwa Steve. Martin alikuwa na Will smith kwenye Fresh prince of ballair
Umechanganya madesa mkuu. Martin hajawahi shiriki kwenye ucheshi wa fresh prince of the bell air, ameshiriki kwenye bad boys
 
Nakumbuka ITV walipozindua tu wakaanza na World Cup 1994 USA. nilikuwa nakesha sitting room peke yangu hadi alfajiri, wakati huo nikiwa kidato cha nne.

Hili kombe la dunia tangazo bora lilikuwa la Revola likitangazwa na binti mmoja maridadi sana alikuwa akisema " sio siri, ni revola. Huniweka fresh, mchana kutwa" alafu anatoa tabasanu moja laini mithili ya sufi. Jingine lilikuwa wanasema " kazi kazi, tufanye kazi kwa nguvu zoteee" lilikuwa la bia ya tusker nadhani. Sinto sahau mechi ya Argentina vs. [emoji1184] Nigeria plus Nigeria [emoji1184] vs. Bulgaria [emoji1058] Rashidi Yekini alilia na nyavu ngoma 3-0
 
Duh umenikumbusha mbali sana kijana. Walikuwa wanaweka picha za kihindi na kiarabu. Full watu kuchinjana na ndio movies za Kina kuchi kuchi khotae za kihindi. Umenikumbusha mtangazaji wa taarifa wa DTV alikuwa Ephraim kibonde. Na sitasahau yule Rainfred Masako alivyo tangaza ajali ya Mv. Bukoba.
Ivi huyu mzee Rainfred Masako yupo wapi alikuwa mtangazaji wa ITV.
Kuna mtangazaji mwingine alikuwa DTV alikuwa anaitwa Godfrey Mgodo

Ephraim Kibonde alitokea CTN
 
View attachment 402172kuna hii pia...ilikua na jina lake ila nimelisahau...adi wahusika nilikua nimeweka majina ya kichwani enzi izo ila nimesahau yote [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aisee jpili unatoka church mapema kuwahi kuwaangali. Master, monkey, baggie. Shifo hahahaha zamani raha sana sikuhizi TV zetu hazina mvuto. Wakina bishanga Richie mzee upara bibi ambiliki yaani ilikuwa balaa
 
Itv kulikuwa na The African Journal [emoji429], kulikuwa na futball mundia, Dtv walikuwa na tamthilia ya Kwando shesh mia ya akina Diego na Paloma, Ctn TNT muvz, Family matters Itv, akina Mjuba, Lindi na dogo chokoraa, Dtv Michael Night, Timetrax ya captain Lambert na elizabeth, Rino Renz, Babylon 5, Dtv waangalia league ya England, La mujer de mi vida na Babarita, Neighbors jioni, 227, n.k.
 
Back
Top Bottom