Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Mm nataka video ya chai jaba kuna mtu alikuwa akitaniwa analia na kama anaangalia tv likitokea tangazo hilo analia kwa sbb watu wanashangilia .aaaah chai jaba eeh chai jabaaaaa!!habari nzuri kwa watanzania
Saivi huyo mtu yupo wapi?
 
Vibe na perfect strangers
Hivi hapa
tapatalk_1481627329547.jpeg
 
Kumbe family matters ilirushwa ITV,,,naipenda mno,,kumbe ITV walikua vizuri zamani,sikuizi vipindi vya ajabu ajabu tu
 
Sana aisee,,CBS kwenye dstv wanairusha,,nakakubali sana,,hasa kakikutana na karl winslow dah,,hakuna tamthilia nzuri kama hii
Huwa napenda kanavyobadirika na kuwa kawaida aisee Stive alikuwa motoo
 
Back
Top Bottom