Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Ganga Maiya tamthilia fulani ya kihindi ilikuwa na uchawi mwingi sana inahusisha miungu mbalimbali wa kihindi......

Ganga Maiya huyo mama alikuwa kiboko yao....
 
Nakumbuka baba alikuwa na radio ya mvule ikishika AM tu

Sikuwa hata nikijua runinga zaidi ya kuskia kwa watu
 
Kipindi cha Kitimoto DTV kilichopelekea balaa la nyama pendwa kupewa jina la kipindi
 
Ganga Maiya tamthilia fulani ya kihindi ilikuwa na uchawi mwingi sana inahusisha miungu mbalimbali wa kihindi......

Ganga Maiya huyo mama alikuwa kiboko yao....
Ilikuwa inaoneshwa channel gani mkuu
 
Back
Top Bottom