Revola JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 1,516 Reaction score 1,338 Apr 18, 2018 Thread starter #1,161 kajembejr said: Tamthilia ya Tausi Click to expand... Nayo ilikuwa poa sana
lightning JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 355 Reaction score 597 Apr 18, 2018 #1,162 Mapicha ya kihindi pale CTN kila jumapili, achaaa bhana!!!!
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,400 Reaction score 14,339 Jul 4, 2018 #1,163 robione said: kubuyu njoo kibuyu njoo kibuyu njoo Click to expand... nitaipata wapi hii movie
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 9,836 Reaction score 7,231 Jul 4, 2018 #1,164 Nakumbuka sinema za ngono za CTN, hatari mno.
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,553 Jul 4, 2018 #1,165 Baadae ilikujja TvT ikiwa na kiwango bora kabisa cha picha kuliko Tbc ya sasa
Revola JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 1,516 Reaction score 1,338 Jul 31, 2018 Thread starter #1,166 lightning said: Mapicha ya kihindi pale CTN kila jumapili, achaaa bhana!!!! Click to expand... Yale mapicha yalikuwaga motoo sanaa mkuu
lightning said: Mapicha ya kihindi pale CTN kila jumapili, achaaa bhana!!!! Click to expand... Yale mapicha yalikuwaga motoo sanaa mkuu
Revola JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 1,516 Reaction score 1,338 Jul 31, 2018 Thread starter #1,167 eddy mhando said: nitaipata wapi hii movie Click to expand... Picha gani Eddy
Revola JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 1,516 Reaction score 1,338 Jul 31, 2018 Thread starter #1,168 Mkereketwa_Huyu said: Nakumbuka sinema za ngono za CTN, hatari mno. Click to expand... Walikuwa wanaweka muda gani mkuu
Mkereketwa_Huyu said: Nakumbuka sinema za ngono za CTN, hatari mno. Click to expand... Walikuwa wanaweka muda gani mkuu
Revola JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 1,516 Reaction score 1,338 Jul 31, 2018 Thread starter #1,169 ibanezafrica said: Baadae ilikujja TvT ikiwa na kiwango bora kabisa cha picha kuliko Tbc ya sasa Click to expand... Hahhahah na vipindi vilikuwa vizurii sana
ibanezafrica said: Baadae ilikujja TvT ikiwa na kiwango bora kabisa cha picha kuliko Tbc ya sasa Click to expand... Hahhahah na vipindi vilikuwa vizurii sana
sepaline JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 265 Reaction score 270 Jul 31, 2018 #1,170 TCM zilikuwa movie zangu usiku kucha
Mabobish JF-Expert Member Joined Jul 25, 2018 Posts 367 Reaction score 282 Jul 31, 2018 #1,171 Nawakumbuka kina Bishanga Bashaija na mwenzie
theriogenology JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 8,748 Reaction score 15,681 Jul 31, 2018 #1,172 Ganga Maiya tamthilia fulani ya kihindi ilikuwa na uchawi mwingi sana inahusisha miungu mbalimbali wa kihindi...... Ganga Maiya huyo mama alikuwa kiboko yao....
Ganga Maiya tamthilia fulani ya kihindi ilikuwa na uchawi mwingi sana inahusisha miungu mbalimbali wa kihindi...... Ganga Maiya huyo mama alikuwa kiboko yao....
Baba wa Mapaka JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 1,827 Reaction score 1,655 Jul 31, 2018 #1,173 Nakumbuka baba alikuwa na radio ya mvule ikishika AM tu Sikuwa hata nikijua runinga zaidi ya kuskia kwa watu
Nakumbuka baba alikuwa na radio ya mvule ikishika AM tu Sikuwa hata nikijua runinga zaidi ya kuskia kwa watu
delusions JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 5,002 Reaction score 1,287 Jul 31, 2018 #1,174 Kipindi cha Kitimoto DTV kilichopelekea balaa la nyama pendwa kupewa jina la kipindi
Revola JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 1,516 Reaction score 1,338 Jul 31, 2018 Thread starter #1,175 sepaline said: TCM zilikuwa movie zangu usiku kucha Click to expand... Ulikuwa unakesha mkuu[emoji3]
Revola JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 1,516 Reaction score 1,338 Jul 31, 2018 Thread starter #1,176 Mabobish said: Nawakumbuka kina Bishanga Bashaija na mwenzie Click to expand... Kitu cha mambo hayoo
Revola JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 1,516 Reaction score 1,338 Jul 31, 2018 Thread starter #1,177 theriogenology said: Ganga Maiya tamthilia fulani ya kihindi ilikuwa na uchawi mwingi sana inahusisha miungu mbalimbali wa kihindi...... Ganga Maiya huyo mama alikuwa kiboko yao.... Click to expand... Ilikuwa inaoneshwa channel gani mkuu
theriogenology said: Ganga Maiya tamthilia fulani ya kihindi ilikuwa na uchawi mwingi sana inahusisha miungu mbalimbali wa kihindi...... Ganga Maiya huyo mama alikuwa kiboko yao.... Click to expand... Ilikuwa inaoneshwa channel gani mkuu
Revola JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 1,516 Reaction score 1,338 Jul 31, 2018 Thread starter #1,178 Baba wa Mapaka said: Nakumbuka baba alikuwa na radio ya mvule ikishika AM tu Sikuwa hata nikijua runinga zaidi ya kuskia kwa watu Click to expand... [emoji3][emoji3] hata za kuchungulia kwa jirani mkuu
Baba wa Mapaka said: Nakumbuka baba alikuwa na radio ya mvule ikishika AM tu Sikuwa hata nikijua runinga zaidi ya kuskia kwa watu Click to expand... [emoji3][emoji3] hata za kuchungulia kwa jirani mkuu
Revola JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 1,516 Reaction score 1,338 Jul 31, 2018 Thread starter #1,179 delusions said: Kipindi cha Kitimoto DTV kilichopelekea balaa la nyama pendwa kupewa jina la kipindi Click to expand... Ilikuwaje kuwaje mkuu[emoji3]
delusions said: Kipindi cha Kitimoto DTV kilichopelekea balaa la nyama pendwa kupewa jina la kipindi Click to expand... Ilikuwaje kuwaje mkuu[emoji3]
Khalifavinnie JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 2,796 Reaction score 2,367 Jul 31, 2018 #1,180 Ntard