Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
1. Daudi pamoja na kudharaulika umbile lake lakini alimuua Goliath

2. Petro pamoja na kuaminiwa kote lakini aliweza kumkana yesu Mara tatu

3. Yusuph pamoja na kukataliwa na nduguze lakini akageuka kuwa nguzo kuu

4. Yusuph pamoja na ugwadu wa kitambo kirefu lakini aligoma offer ya game kutoka kwa mke wa boss

5.
6.
7.
Nakuendelea.....
 
4. Yusuph pamoja na ugwadu wa kitambo kirefu lakini aligoma offer ya game kutoka kwa mke wa boss.


Hii ya nne mimi naikataa.

Yusuph alikua mkuu wa miladi ya boss wake, unafikir mtonyo wa kuzugia mademu ulikua ni shida kwake..???

Hata ningekua mimi ningemkataa mke wa boss, malaya wengi hivo.
 
Yuda mzee wa mikakati.....ila alifeli.....

Kweli pesa na utu ni vitu tofauti sana....

Yuda alimsaliti Yesu akijua kwamba yesu ni IQ nyingine hapa duniani kwahiyo atashinda tu kwa maswali na majibu...

Kwahiyo kaona ale mpunga tu....daah ni somo kubwa sana.
 
Back
Top Bottom