Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

Hili tayari ilishapangwa na Yesu alisema kabisa..kabla jogoo hajawika utanikana mara tatu.
Mungu ndiye hupanga kila tunachofanya hapa duniani na kama hapangi basi anajua kila hatua ya maisha ya kila mwanadamu.
Petro hata angefanyaje asingeweza kuikwepa hii dhambi.
Ndio maana kuna wakati mtu unatafakari hizi dhambi unahisi kwamba ni Mungu mwenyewe aliziweka..
Kwa mfano yuda kumsaliti yesu ilikuwa ni mpango wa yesu au ni utashi wa yuda ....swali kwako DEMI
 
Ni mpango wa Mungu. Tayari ilishapangwa petro aliambiwa kabisa kwamba atamsaliti Yesu..isingewezekana kuchomoa.
Kiufupi Petro allipangiwa afanye dhambi ya usaliti. Mtu anapangiwa kufanya dhambi halafu anahukumiwa, maqjabu haya
 
Yeah,sure
 
Hakupangiwa bali alitabiliwa ,na kwa kuwa Yesu alikuwa na uwezo huo na alijua vyema yatakayo jiri mbele yake.
 
huo utabiri ndo mpango wa Mungu. Hata sisi Mungu anajua nini tutafanya na maisha yetu hatakuwa vipi anajua kila hatua maana ilishapangwa.
kinachoshangaza ni kuambiwa kwamba tutachomwa moto kwa matendo yetu wakati it was all planned.
 
Hii ya kumla dadaake ilikuaje🙊
Hii ilikuwa ni adhabu kwa daudi baada ya kuchukua mke wa askali wake yaani Uria ilikuwa hivi..2Samweli mstali wa 13

Amnoni alimtamani Tamari dadaake Absalom, ambaye ni dadaake wa baba mmoja mama tofauti, kwa maelezo ya biblia alikuwa bado bikra (umbu).

Basi Amnoni akajifanya mgonjwa akaagiza watumishi wa babaake kuwa anamuomba Tamari aje kumtengenezea chakula maana anafahamu mapishi haswa 😅😅😅,

Kumbe kijana analake jambo, binti Tamari kajitanda mtandio na kwenda kwenye chumba cha kakaake kupeleka kinywaji kufika huko yeye ndiye kageuzwa kinywaji....(mwanzo wa mauaji nyumbani mwa daudi)
 
🤣🤣🤣Akageuzwa kinywaji🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Back
Top Bottom