Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

Abram mwenyewe kabisa anapanga mkakati na mkewe Sarai kwamba wakifika Misri, Abram na Sarai waitane Kaka na Dada.

Ikawa hivyo mpaka Abram akachukua mahari toka kwa Farao na kuoza mkewe huko ugenini.

Mungu akaingilia Kati kuvunja ndoa ya Sarai na Farao. Kisha Abram na mkewe Sarai kufukuzwa Egypt.
 
Kale kajamaa Yona kalikimbia amri ya mugu kakaishia kuitupwa baharini, kakaokolewa kwa kumezwa na samaki na kutapikwa nchi kavu, ngano za bible hata kama huamini ni tamu kweli kweli kama movie za kihindi
 
Kuna mwamba alikuwa anamtomba mama yake. Paulo alimtaja kwenye 1.Wakorintho 5:1

1 WAKORINTHO 5:1 Yamkini habari imeenea ya kuwa miongoni mwenu kuna uzinzi ambao haujatokea hata miongoni mwa watu wasiomjua Mungu: Kwamba mtu anaishi na mke wa baba yake.

Daah! Hapa sijui tunapata funzo gani asee
 
Ha ha haa,eti kaka na dada
 
Usifanye ivo
 
Kale kajamaa Yona kalikimbia amri ya mugu kakaishia kuitupwa baharini, kakaokolewa kwa kumezwa na samaki na kutapikwa nchi kavu, ngano za bible hata kama huamini ni tamu kweli kweli kama movie za kihindi
Ha ha haa,eti Movies za kihindi
 
Yeah sure,ila kuwe na kias
Kuna jimama linatajwa kwenye METHALI 7:7–22 linachepuka na bwana mdogo (kiben ten) Na hilo jimama mume wake alikuwa amesafiri kwa hiyo akapata fursa ya kugegedwa na kijana, mahaba shatashata kama mdigo aisee. Simulizi lake hilo hapo

METHALI 7:7-22
7. Nikawaona vijana wengi wajinga,
na mmoja hasa aliyekuwa mpumbavu.

8. Huyo alikuwa akitembea kwenye barabara ile, karibu na kona alikoishi mwanamke fulani. Basi akashika njia iendayo nyumbani kwa mwanamke huyo.

9. Ilikuwa yapata wakati wa jioni, giza na usiku vilikuwa vimeanza kuingia

10. Punde kijana akakutana na huyo mwanamke; amevalia kama malaya, ana mipango yake.

13. Alimkumbatia kijana huyo na kumbusu, na kwa maneno matamu, akamwambia:

15. Ndio maana nimetoka ili nikulaki,
nimekutafuta kwa hamu nikakupata.

16. Nimetandika kitanda changu vizuri,
kwa shuka za rangi za kitani kutoka Misri.

17. Nimekitia manukato, manemane, udi na mdalasini.

18. Njoo tulale pamoja mpaka asubuhi;
njoo tujifurahishe kwa mahaba.

19. Mume wangu hayumo nyumbani,
amekwenda safari ya mbali.

21. Alimshawishi kwa maneno mengi ya kubembeleza; kijana akashawishika kwa maneno yake matamu.

22. Hapo akamfuata huyo mwanamke moja kwa moja, kama ng'ombe aendaye machinjioni, kama paa arukiaye mtegoni.
 
Kuna jimama linatajwa kwenye METHALI 7:7–22 linachepuka na bwana mdogo (kiben ten) Na hilo jimama mume wake alikuwa amesafiri kwa hiyo akapata fursa ya kugegedwa na kijana, mahaba shatashata kama mdigo aisee. Simulizi lake hilo hapo

METHALI 7:7-22
7. Nikawaona vijana wengi wajinga,
na mmoja hasa aliyekuwa mpumbavu.

8. Huyo alikuwa akitembea kwenye barabara ile, karibu na kona alikoishi mwanamke fulani. Basi akashika njia iendayo nyumbani kwa mwanamke huyo.

9. Ilikuwa yapata wakati wa jioni, giza na usiku vilikuwa vimeanza kuingia

10. Punde kijana akakutana na huyo mwanamke; amevalia kama malaya, ana mipango yake.

13. Alimkumbatia kijana huyo na kumbusu,
na kwa maneno matamu, akamwambia:

Ha ha haa,unatafutiza balaa
 
Ngoja nithibitishe
 
MITHALI 3:28 - Usimwambie jirani yako, nenda, urudi, alafu kesho nitakupa. Nawe unacho kitu kile karibu yako.

Funzo: uchoyo sio mzuri.

MITHALI 3:29 - Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, ambae anakaa karibu nawe na kujiona salama.

Funzo: Unafki na roho chafu sio mzuri.

MITHALI 3:29 - Usishindane na mtu bila sababu, ikiwa hakukudhuru (hajakusosea) kwa lolote

Funzo: wivu ni mbaya
 
Back
Top Bottom