Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

Kwenye HIV nimekuelewa mkuu
Sio HIV tu hata huku makanisani muende kwa kiasi unakuta mtu jpili anaenda, sawa hamnashida, j3 jioni yumo j4 mchana kaenda, j5 jioni kaenda, alhmisi kaenda, ijumaaa mkesha kuamkia jmosi, jmosi yenyewe mchana kaenda, na bado ukimuuliza unaamini uchawi upo anakuambia hapana! Sio dhambi hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio HIV tu hata huku makanisani muende kwa kiasi unakuta mtu jpili anaenda, sawa hamnashida, j3 jioni yumo j4 mchana kaenda, j5 jioni kaenda, alhmisi kaenda, ijumaaa mkesha kuamkia jmosi, jmosi yenyewe mchana kaenda, na bado ukimuuliza unaamini uchawi upo anakuambia hapa! Sio dhambi hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya chauvivu
 
Kuna yule jamaa aliwapelekea moto mabinti zake wawili anaitwa Loti. Biblia haisemi lakini atakuwa alipiga nao 3some

SOMO: Mabinti wawe makini mbele za baba yao waepuke kuvaa mavazi ya mitego
Ha ha haa,we jamaa wewe na mzabzab undeni undugu
 
Back
Top Bottom