Bauntu asukile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2020
- 324
- 442
Binafsi nalifikiria jibu la Kaini kwa Mungu ,,pindi Mungu alipo muuliza Kaini yuko wapi ndugu yako ,,Kaini akajibu kwani Mimi ndie mlinzi wa ndugu yangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba 4 sio sawa, Daudi hakuwa na shida na mke wa boss wake, mwanamke ndiye alitaka kumbaka.1. Daudi pamoja na kudharaulika umbile lake lakini alimuua Goliath
2. Petro pamoja na kuaminiwa kote lakini aliweza kumkana yesu Mara tatu
3. Yusuph pamoja na kukataliwa na nduguze lakini akageuka kuwa nguzo kuu
4. Yusuph pamoja na ugwadu wa kitambo kirefu lakini aligoma offer ya game kutoka kwa mke wa boss
5.
6.
7.
Nakuendelea.....
Hapa ndio binadamu alifika kiwango cha mwisho cha tamaa!Watu wa Sodoma na Gomora pamoja na kufirana wao kwa wao hawakutosheka mpaka wakataka kuwafira malaika.
Hatimaye wakaangamizwa kwa moto mkubwa.
Hawa ndo walitia fora [emoji1787]Watu wa Sodoma na Gomora pamoja na kufirana wao kwa wao hawakutosheka mpaka wakataka kuwafira malaika.
Hatimaye wakaangamizwa kwa moto mkubwa.
Hapa umechanganya mafaili wakati anakataa papuchi ya boss wake Alikua Ni fala tu... Hakuwa na mamlaka yyte kwa wakati huo4. Yusuph pamoja na ugwadu wa kitambo kirefu lakini aligoma offer ya game kutoka kwa mke wa boss.
Hii ya nne mimi naikataa.
Yusuph alikua mkuu wa miladi ya boss wake, unafikir mtonyo wa kuzugia mademu ulikua ni shida kwake..???
Hata ningekua mimi ningemkataa mke wa boss, malaya wengi hivo.
Hapa umechanganya mafaili wakati anakataa papuchi ya boss wake Alikua Ni fala tu... Hakuwa na mamlaka yyte kwa wakati huo
Kaz Kwa muhindi zina ninikasome vizur bible yako.
Mwanzo 39:4
[4]Yusufu akaona neema machoni pake, akamtumikia. Naye akamweka awe msimamizi juu ya nyumba yake, na yote yaliyomo akayaweka mkononi mwake.
Kwanza kufanya kazi tu kazi kwa Mkuu wa Askari, unafikir ni sawa na kufanya kazi kwa Muhindi 😆😅 alipata kibali mapema tu. Na akawekwa kuwa Msimamizi.
Mwanzo 39:5-7
[5]Ikawa tokea wakati alipomweka awe msimamizi juu ya nyumba yake, na vyote vilivyomo, BWANA akabariki nyumba ya yule Mmisri kwa ajili ya Yusufu. Mbaraka wa BWANA ukawa juu ya vyote alivyokuwa navyo katika nyumba, na katika shamba.
[6]Akayaacha yote aliyokuwa nayo mkononi mwa Yusufu; wala hakujua habari za kitu cho chote chake, ila hicho chakula alichokula tu.
Naye Yusufu alikuwa mtu mzuri, na mwenye uso mzuri.
[7]Ikawa baada ya mambo hayo, mke wa bwana wake akamtamani Yusufu, akamwambia, Lala nami.
AminaMITHALI 3:28 - Usimwambie jirani yako, nenda, urudi, alafu kesho nitakupa. Nawe unacho kitu kile karibu yako.
Funzo: uchoyo sio mzuri.
MITHALI 3:29 - Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, ambae anakaa karibu nawe na kujiona salama.
Funzo: Unafki na roho chafu sio mzuri.
MITHALI 3:29 - Usishindane na mtu bila sababu, ikiwa hakukudhuru (hajakusosea) kwa lolote
Funzo: wivu ni mbaya