Kuna jimama linatajwa kwenye METHALI 7:7–22 linachepuka na bwana mdogo (kiben ten) Na hilo jimama mume wake alikuwa amesafiri kwa hiyo akapata fursa ya kugegedwa na kijana, mahaba shatashata kama mdigo aisee. Simulizi lake hilo hapo
METHALI 7:7-22
7. Nikawaona vijana wengi wajinga,
na mmoja hasa aliyekuwa mpumbavu.
8. Huyo alikuwa akitembea kwenye barabara ile, karibu na kona alikoishi mwanamke fulani. Basi akashika njia iendayo nyumbani kwa mwanamke huyo.
9. Ilikuwa yapata wakati wa jioni, giza na usiku vilikuwa vimeanza kuingia
10. Punde kijana akakutana na huyo mwanamke; amevalia kama malaya, ana mipango yake.
13. Alimkumbatia kijana huyo na kumbusu,
na kwa maneno matamu, akamwambia:
15. Ndio maana nimetoka ili nikulaki,
nimekutafuta kwa hamu nikakupata.
16. Nimetandika kitanda changu vizuri,
kwa shuka za rangi za kitani kutoka Misri.
17. Nimekitia manukato, manemane, udi na mdalasini.
18. Njoo tulale pamoja mpaka asubuhi;
njoo tujifurahishe kwa mahaba.
19. Mume wangu hayumo nyumbani,
amekwenda safari ya mbali.
21. Alimshawishi kwa maneno mengi ya kubembeleza; kijana akashawishika kwa maneno yake matamu.
22. Hapo akamfuata huyo mwanamke moja kwa moja, kama ng'ombe aendaye machinjioni, kama paa arukiaye mtegoni.