Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Wakuu huu Uzi ni kwa ajili ya kushare different stories ya umbandu mbandu uliokutokea sikukuu pendwa ya wajinga ..kwangu Mimi siji sahau siku ambayo swalehe alikuja kuniamsha kwamba nje kuna simba na chui na mtaa mzima umekimbia tumebaki sisi tuu na hang over za usingiz[emoji124] nilichokifanya ... Hebu share nasi kiroja kilichokukuta ... __ chai ruksa ila isikolee sana sukar