Tukumbushane vituko vilivyokutokea sikukuu ya wajinga

Tukumbushane vituko vilivyokutokea sikukuu ya wajinga

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
20,178
Reaction score
39,641
Wakuu huu Uzi ni kwa ajili ya kushare different stories ya umbandu mbandu uliokutokea sikukuu pendwa ya wajinga ..kwangu Mimi siji sahau siku ambayo swalehe alikuja kuniamsha kwamba nje kuna simba na chui na mtaa mzima umekimbia tumebaki sisi tuu na hang over za usingiz[emoji124] nilichokifanya ... Hebu share nasi kiroja kilichokukuta ... __ chai ruksa ila isikolee sana sukar
 
Nilidanganywa niende Ubungo kuna mzigo nimetumiwa
Na mimi bila kuwaza nikaenda..namuuliza niende ofisi gani
Ananiuliza leo tarehe ngapi vilee....hahahaa wee mwanaume wewe
 
Back
Top Bottom