Vumbi la Kongo
Member
- Aug 13, 2017
- 13
- 9
Hatare eeeWachaga kweny uchezaji wa Mpira Ni ngumu kuwapata, kuna story niliwah kusikia Etiiii zaman Wachaga walikuwa wanacheza sana Mpira. Siku moja wakawa wanacheza na Timu kubwa Kwel sasa masawe akawa amewapiga chenga walinzi wa Timu pinzani jamaa akabaki na kipa peke yake, kuchek jukwaaan akaona nyomi y'all watu, jamaa ikabid akimbilie getini kuuliza mapato, aiseeee mushi mpaka sasa iv umeingiza sh ngap??? Mpaka Leo Hakuna mchaga anayetaka kucheza Mpira Kila mtu anataka agae getin akusanye hela!!!!