Tukumbushane Wachagga waliowahi kusakata kabumbu kwa kiwango cha ligi kuu bara

Hatare eee
 
Hahaaaa
 



TMK ya Temba. Kwani Temba ni Msukuma
 
hivi barnabas mwanamzuki ni mtu wa wapi vile
 
Wachaga na mpira wapi na wapi. Ndio maana kwishoni huyo massawe akaishia kuiba gari la jeshi/mwanajeshi sijui kesi yake iliishaje....rangi yake kamili na anachoweza kufanya ikaonekana



Vyasaka hamuishi husda
 
Unatoka mbele za watu na kujifarakamua akuwa snura ni mwanamuziki.


Unajuaaana ya mwanamuziki

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa nguvu hamna mwanamziki pale kazi yake kudhalilisha wanawake na mwenzie shishi hawana vipaji vya uimbaji kabsa labda kujivua nguo
 
Wahenga watamkumbuka LYIMO wa TPC miaka ya 1960's akichezea TPC na Kilimanjaro Sunlight /Taifa Cup na Nafikiri Tanzania.
 
Hahahaaaa....!!
 
Mecky Mexime siyo Mkaguru kweli?!!
Tujiridhishe jamani kwa huyu kocha mvumbua vipaji na mwenye nidhamu kubwa ya maisha na kazi yake.
Ni kweli Mecky sio mchaga! Wazazi wake wako pale Mkamba Kilombero! Wana asili ya Morogoro au Dodoma lakini sio uchagani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…