PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Alikuwa mzembe mzembe kwenye mazoezi,kuna kipindi alipata chanel nje akagusa gusa soka huko baadaye akajiingiza kusafirisha unga kuna nchi alikamatwa hakuna taarifa kama walitoka.Na kasi pia, ila hakuwa na mafanikio kisoka kama wachezaji wenzake kwenye hiyo orodha
Sina taarifa za yeye kukamatwa na unga ila soka lake liliisha kama utani utani hivi.Alikuwa mzembe mzembe kwenye mazoezi,kuna kipindi alipata chanel nje akagusa gusa soka huko baadaye akajiingiza kusafirisha unga kuna nchi alikamatwa hakuna taarifa kama walitoka.
Nteze John Lungu kazaliwa mwaka 1978 ina maana mwaka 1993 alikuwa na miaka 15 tu aliingiaje kikosi cha Simba ?Kama hakuwepo basi alicheza msimu uliofuata,unajua miaka mingi imepita
Alisajiliwa kuchezea Simba msimu wa 2000/2001 akitokea St Mitchell ya Seychells kama kumbukumbu zangu ziko sawaKama hakuwepo basi alicheza msimu uliofuata,unajua miaka mingi imepita
Yeah yote kheri mkuuHuko sawa, nafikiri yatakuwa yamekwisha
Mkuu PTER malizia hii kama ntakosea nisahihishe
Juma Kaseja
Said sued/ Mussa Msangi
Ramadhan Ramadhan
Suleiman Matola
Boniface Pawasa
Patrick Betwel/ Christopher Massawe
....
.....
Hawa watoto wa juzi jf hawataelewa list hii
Umemsahau na David MihamboYa kwangu ni ile Iliyofika fainali ya kombe la Caf 1993
Mohamed Mwameja,Kasongo Athumani, David Mihambo, Michael Paul ‘Nylon’, Duwa Said(japo hakucheza mashindano yale), Iddi Selemani ‘Meya’, Damian Kimti, Deo Mkuki,Fikiri Magoso, George Masatu, Twaha Hamidu na Mavumbi Omar,Often Martin, George Lucas ‘Gazza’, Mbuyi Yondani, Suleiman Pembe, Ramadhani Lenny (marehemu), Edward Chumila (marehemu),Malota Soma "Ball juggler", Hussein Marsha, Ayoub Mzee,Nteze John Lungu
Janvier Besala Bukungu
Salum Kanoni nafikri alikuwa anacheza kushoto zaidi, hawa jamaa ndiyo Simba iliyomaliza ligi bila kufungwa.
Nyuma alikuwa George Owino na Kelvin Yondan au David Naftar
Kati alikuwa Jerry Santo na Hilal Echesa hatari sana
RP SIO LP1.Laphael Poul LP
2.Kasongo Athumani
3.Kihwelo Musa
4.Kapombe
Hakujawahi kutokea kama Noriega kwenye hiyo namba.
Ahsanteni sana wakuu.Twaha hamidu ndio mwenye legacy yake hapo
Legacy haitetewi..inajitetea by Nape MossesNaona legasy ya Alfonce Modest kushoto inapotezwa na M. Hussein
Nimesoma na jamaa, anaitwa Athmani Kasongo alikuwa mtu wa Kigoma huko.KASONGO ATHUMAN..