Tukumbushane Wachezaji waliocheza ‘mbavu’ ya kulia katika Kikosi cha Simba SC

Tukumbushane Wachezaji waliocheza ‘mbavu’ ya kulia katika Kikosi cha Simba SC

Na kasi pia, ila hakuwa na mafanikio kisoka kama wachezaji wenzake kwenye hiyo orodha
Alikuwa mzembe mzembe kwenye mazoezi,kuna kipindi alipata chanel nje akagusa gusa soka huko baadaye akajiingiza kusafirisha unga kuna nchi alikamatwa hakuna taarifa kama walitoka.
 
Alikuwa mzembe mzembe kwenye mazoezi,kuna kipindi alipata chanel nje akagusa gusa soka huko baadaye akajiingiza kusafirisha unga kuna nchi alikamatwa hakuna taarifa kama walitoka.
Sina taarifa za yeye kukamatwa na unga ila soka lake liliisha kama utani utani hivi.
 
Mpaka leo hakuna aliyefikia makali ya Shaban Baraza Mzee Wa ku-overlap. Ila kwa mwendo wa Kapombe kuna dalili ya kumfikia au hata kumpita gwiji huyu.
 
Kama hakuwepo basi alicheza msimu uliofuata,unajua miaka mingi imepita
Nteze John Lungu kazaliwa mwaka 1978 ina maana mwaka 1993 alikuwa na miaka 15 tu aliingiaje kikosi cha Simba ?
 
Kama hakuwepo basi alicheza msimu uliofuata,unajua miaka mingi imepita
Alisajiliwa kuchezea Simba msimu wa 2000/2001 akitokea St Mitchell ya Seychells kama kumbukumbu zangu ziko sawa
 
Mkuu PTER malizia hii kama ntakosea nisahihishe

Juma Kaseja
Said sued/ Mussa Msangi
Ramadhan Ramadhan
Suleiman Matola
Boniface Pawasa
Patrick Betwel/ Christopher Massawe
....
.....
Hawa watoto wa juzi jf hawataelewa list hii

Sasa hichi Kikosi ulichokitaja si ndiyo wanaokijua hao Watoto wa Juzi wa JF? Angalau ungetaja Kikosi cha Kina Madaraka Selemani 'Mzee wa Kiminyio' cha japo 1996 basi ungeeleweka kuwachanganya watoto wa Juzi wa JF.
 
Ya kwangu ni ile Iliyofika fainali ya kombe la Caf 1993
Mohamed Mwameja,Kasongo Athumani, David Mihambo, Michael Paul ‘Nylon’, Duwa Said(japo hakucheza mashindano yale), Iddi Selemani ‘Meya’, Damian Kimti, Deo Mkuki,Fikiri Magoso, George Masatu, Twaha Hamidu na Mavumbi Omar,Often Martin, George Lucas ‘Gazza’, Mbuyi Yondani, Suleiman Pembe, Ramadhani Lenny (marehemu), Edward Chumila (marehemu),Malota Soma "Ball juggler", Hussein Marsha, Ayoub Mzee,Nteze John Lungu
Umemsahau na David Mihambo
 
Salum Kanoni nafikri alikuwa anacheza kushoto zaidi, hawa jamaa ndiyo Simba iliyomaliza ligi bila kufungwa.

Nyuma alikuwa George Owino na Kelvin Yondan au David Naftar
Kati alikuwa Jerry Santo na Hilal Echesa hatari sana

Meshak Abel hakuwepo kweli kwenye kikosi hiki?
 
Ila kwa mechi nyingi za Simba naona Kasongo Athuman alikuwa beki kweli kweli beki 2
 
Back
Top Bottom