Tukumbushane Wachezaji waliocheza ‘mbavu’ ya kulia katika Kikosi cha Simba SC

Tukumbushane Wachezaji waliocheza ‘mbavu’ ya kulia katika Kikosi cha Simba SC

Katika hao wote naona Kapombe ndio ameitendea na anaitendea haki hiyo namba muda wote utamkuta kwenye kushambulia na kwenye kulinda utamkuta,dk 90 anatembea na moto huo huo.
Said Sued na Juma Jabu nao walikuwa hivyo hivyo
 
Mkuu PTER malizia hii kama ntakosea nisahihishe

Juma Kaseja
Said sued/ Mussa Msangi
Ramadhan Ramadhan
Suleiman Matola
Boniface Pawasa
Patrick Betwel/ Christopher Massawe
....
.....
Hawa watoto wa juzi jf hawataelewa list hii
 
Umeambiwa mbavu ya kulia, sasa wewe unaleta habari za magolikipa na viungo tena!
 
Mkuu PTER malizia hii kama ntakosea nisahihishe

Juma Kaseja
Said sued/ Mussa Msangi
Ramadhan Ramadhan
Suleiman Matola
Boniface Pawasa
Patrick Betwel/ Christopher Massawe
....
.....
Hawa watoto wa juzi jf hawataelewa list hii
Hii ndiyo Simba iliyokuwa na wachezaji hatari wa ndani kuliko kipindi chochote ambacho nimeanza kufuatilia Simba.

Juma kaseja
Said Sued
Ramadhan Wasso
Boniface Pawassa
Victor Costa
Patrick Betwel
Amri Said
Suleiman matola.
Christopher Alex Massawe.
Primuns Kasonso
Steven Mapunda Garincha
Ulimboka Mwakingwe
Akilimali Yahya
Emanuel Gabriel
Lubigisa Madata
Shekhan Rashid
Joseph Kaniki
Athuman Machuppa
Na mzee wa kiminyio akimalizia soka lake

Unaweza kuona kwenye kikosi hicho kuna mgeni mmoja tu Ramadhan Wasso, japo kuna wengine waliingia na kutoka kina Issa Abushiri pamoja na Rajabu Mwinyi
 
Huyo Kaniki alikuwa kahenda hewani,kashiba na tege flani zile za mpira alikuwa na mashuti sana.
 
Ya kwangu ni ile Iliyofika fainali ya kombe la Caf 1993
Mohamed Mwameja,Kasongo Athumani, David Mihambo, Michael Paul ‘Nylon’, Duwa Said(japo hakucheza mashindano yale), Iddi Selemani ‘Meya’, Damian Kimti, Deo Mkuki,Fikiri Magoso, George Masatu, Twaha Hamidu na Mavumbi Omar,Often Martin, George Lucas ‘Gazza’, Mbuyi Yondani, Suleiman Pembe, Ramadhani Lenny (marehemu), Edward Chumila (marehemu),Malota Soma "Ball juggler", Hussein Marsha, Ayoub Mzee,Nteze John Lungu
Nteze John Lungu kachezea Simba 1993 ?
 
Back
Top Bottom