Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Said Sued na Juma Jabu nao walikuwa hivyo hivyoKatika hao wote naona Kapombe ndio ameitendea na anaitendea haki hiyo namba muda wote utamkuta kwenye kushambulia na kwenye kulinda utamkuta,dk 90 anatembea na moto huo huo.