Tukumbushane wahenga vitu tulivyonunua enzi hizo na bei zake

Wakati tunasoma sekondari miaka ya 60 - 70 tulikuwa tunasafiri kwa warrant za serikali; na tukifika shuleni tunarudishiwa pesa zote tulizotumia safarini. Tulikuwa tunafuta nauli kwenye tiketi na risti zingine za gari na mapochopocho ya njiani na kuweka namba kubwa ili turudishiwe pesa zaidi. Ufisadi na upigaji vilianzia hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Me nakumbuka tu nauli ya daladala enzi niko dent ilikua sh 50
Hii ni juzi tu hapa 2007.
Eti naye anajiona mhenga kumbe mtoto wa juzi tu. Watu tunaongelea ishu za early 60s tunapata uhuru to early 70s wakati huo wengi humu hamjazaliwa. Hata wewe naamini ulikuwa bado hujaanza kuleta trouble zako katika dunia hii [emoji16][emoji16][emoji16]
 
😀😀
Hapa ndio nimelijua rika lake.
 
We mhenga
Wakati tunasoma sekondari miaka ya 60 - 70 tulikuwa tunasafiri kwa warrant za serikali; na tukifika shuleni tunarudishiwa pesa zote tulizotumia safarini. Tulikuwa tunafuta nauli kwenye tiketi na risti zingine za gari na mapochopocho ya njiani na kuweka namba kubwa ili turudishiwe pesa zaidi. Ufisadi na upigaji vilianzia hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji1][emoji2][emoji3]
nakumbuka gari ya jeshi 109 land rover fixed for radio ilikuwa Tsh.58000 na kuna maandishi yaliyo andikwa mbele ya dereva kumsisitiza Aitunze!
 
Eti naye anajiona mhenga kumbe mtoto wa juzi tu. Watu tunaongelea ishu za early 60s tunapata uhuru to early 70s wakati huo wengi humu hamjazaliwa. Hata wewe naamini ulikuwa bado hujaanza kuleta trouble zako katika dunia hii [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaa kwahyo wataka kusema kwenye wahenga me sipo, kweli kabisa?
 
Dogo wewe kaa kimya ata zile tata za umoja wa vijana ukuzikuta zilizoletwa kwa matumizi ya wanafunzi
 
Ah...sh 50 juzi tu hp wewe uzao wangu hii mada ya wakongwe tukae pembebi ushasikia feni 600 hamsini tumeoanda daladala toka shule wao walikodia teksi kariakoo hadi temeke khatari!
Teksi toka kkoo hadi temeke kwa sh 50.
Hahaa wacha tujitulize tusikie mengi zaidi ya wahenga.
 
Back
Top Bottom