Tukumbushane Wakuu wa Mikoa wa miaka ya nyuma

JF ni jungu kuu, Nicodemus Banduka namkumbuka.
 
JF ni jungu kuu, Nicodemus Banduka namkumbuka.

Alikuwa Mwalimu wa History wa Mh. Lowassa akiwa Secondary

Kosa lake alikataa kuwa Mwana Mtandao 1995-2005 akawa Team ya Fredrick Sumaye

Alipo sikia Wana Mtandao wameshinda May 4, 2005 kule Dodoma alianza kujiandaa kuondoka Lindi hata kabla ya Kampeni haijaanza na kweli walipoingia alikuwa Mtu wa Mwanzo mwanzo kupumzishwa

Siasa Acha iitwe Siasa

Mh. Ditopile alikuwa Team wana Mtandao hata alipopata kesi ya Mauaji alikuwa anaingia Mahakamani kwa kupitia Mlango wa Majaji
 
Asante kwa somo zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…