Nilicheza timu za madarasa. Shule ya msingi na hadi sekondari hadi chuo nilikuwa nacheza timu ya darasa. Sikuwahi kuchaguliwa kucheza timu ya shule bahati mbayaulikuwa unachezea timu ya mtaa, kijiji au kidato cha ngapi?
daaah huyu jamaa wa argentina aseeh...bonge la fundijuan roman requelme
huyu wanamuita effortless midfielderLucas Modric au tunamuita saint Luca
Mpaka watu wakawa wanasema ni bubuWes Brown wa Man United enzi hizo
Watu wanataja wachezaji mpira wewe unataja wapigaji mpiraJuma nyosso
Hebu ona aibu kutaja wajinga wa mpiraMoshi Boban
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Pepe
Ustaarabu changanyanna unyonge. Ozil ni mstaarabu tena sana.huyu jamaa mm namuonaga kama mgonjwa mgonjwa sijui kwann au ndio upole huo!
[emoji23][emoji23]🤣[emoji16][emoji38]Ely haji Diof, Paul ince
Alikuwa haongei ila ni mcheza rafu mzuri sanaWes Brown wa Man United enzi hizo