Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,139
Nilicheza timu za madarasa. Shule ya msingi na hadi sekondari hadi chuo nilikuwa nacheza timu ya darasa. Sikuwahi kuchaguliwa kucheza timu ya shule bahati mbayaulikuwa unachezea timu ya mtaa, kijiji au kidato cha ngapi?