Tukumbushane Wanasoka wastaarabu na wapole wawapo dimbani

Tukumbushane Wanasoka wastaarabu na wapole wawapo dimbani

ulikuwa unachezea timu ya mtaa, kijiji au kidato cha ngapi?
Nilicheza timu za madarasa. Shule ya msingi na hadi sekondari hadi chuo nilikuwa nacheza timu ya darasa. Sikuwahi kuchaguliwa kucheza timu ya shule bahati mbaya
 
Back
Top Bottom