Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

hata AT nae kwao yuko vizuri kinoma na wazazi wake hawakutaka mwanae aimbe afanye mbishe nyingine. so jamaa hafanyi mziki kwa njaa anafanya kwa mapenzi tu apate asipate he dont care.
AT huyuhuyu wa Zanzibar au kuna AT mwingine? huyu bila Adam juma angekuwa chokoraa mpaka leo
 
Mbona Wapo Wengi Sana

Kuna Sugu(yule Mbunge Wa Mbeya)
Dudu Baya Konk Master Oil Chafu
Bi Kidude(R I P BIBI YANGU)
King Kiba Au Mr Misifa
 
Bongo hapa msanii anayetoka familia ya kishua hamna tusidanganyane hapa .Wote waganga njaa tu
Labda wanamaanisha ule ushua wa kitanzania
Kula mayai na mkate asubuhi,mchana mboga kama 3 tofauti na ugali pembeni au wali au chips kila mtu anachagua ale nini
Jioni juice,tambi ,kuku soda vipo

In such a standard hata mimi nimetoka familia ya kishua[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…