Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha vituko mzee Saida Kaloli huyu aliye pewa kick na Ruge wa Mawinngu FM kurudi kwenye Game ? Au mwingineSaid kaloli na King Crazy GK
Hahaha[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mungu anakuonChief maker
AT huyuhuyu wa Zanzibar au kuna AT mwingine? huyu bila Adam juma angekuwa chokoraa mpaka leohata AT nae kwao yuko vizuri kinoma na wazazi wake hawakutaka mwanae aimbe afanye mbishe nyingine. so jamaa hafanyi mziki kwa njaa anafanya kwa mapenzi tu apate asipate he dont care.
MarsMimi
Mchoma chips tabata sanenejuma mpogo
Labda wanamaanisha ule ushua wa kitanzaniaBongo hapa msanii anayetoka familia ya kishua hamna tusidanganyane hapa .Wote waganga njaa tu
Sio mjumbe wa nyumba 10Baba ake alikuwa mwenye kiti wa mtaa huko mtwara.
😀😀😀😀😀Bibi cheka [emoji23]