Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Nahreel co wa kishua kias hicho angekuwa wa kishua mdogo ake asingesoma makongo
Ndo maana nimetangulia kusema "kama wa kishua ni kuwa na pesa home basi Nahreel".

Nimetangulia kusema "kama mkwanja upo..." kwa sababu maisha ya kishua ni zaidi ya kuwa na mkwanja mrefu!

Nahreel mkwanja home upo ingawaje pia wapo wazee wenye mkwanja lakini hawaishi maisha ya kishua!
 
Bob junior umeshawahi kupajua kwao mkuu ??
kuna Bangalore moja la maana
Huyu nampata bob junior kwako kuna change na anaish maisha ya kisure hasa swala la kumtaka diamond amsaidie haina maana kuwa hana hela yawezekana alikuw nataka connection afu hata uwe tajiri kumbuka tajiri humkopa tajiri Mwenzie
 
jamaa alikuwa hajui hilo ..Bob junior kwao niwakishua na baba yake ndiye alikuwa boss wakina alikiba kina noorah mr .blue nawengine wengi...alikuwa anamiliki studio ya g.record na alikuwa anaimiliki just for funny hakuwa anataka kabisa mwanae ajihusishe na music...
alichokuwa anakitaka Bob kwa mond ni connection na kumsaidia kumaliA tofaut zake na wakuu walioushika huu music maana Bob alizinguana nao
 
Kwa wenzetu zingewekwa Mali na ukwasi uliopo bank , hapa bongo ni porojo tu huyu tajiri ...

Wekeni Mali na Vitega uchumi tupige mahesabu
 
Prodyuza Nisher...Baba yake ni Nabii anapesa hatari
Nisha wa vichekesho vya mzee Majuto?
Mtoto anaweza kuwa na wababa wengi kutegemeana na msimamo wa mamaake.
Huyu binti baba yake alikuwa Navy ni marehemu nadhani ni mwaka 1997 binti akiwa mdogo tu.Labda kama sio huyu msanii wa ubongo muovu.
 
Back
Top Bottom