TwaliwaKweupe
Member
- May 29, 2017
- 59
- 142
Mike T
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku mziki si ndiyo umemtoa alikuwaga tu presenter wa Times FM au!!?VANESSA MDEE
langa kileo-upangaGwamaka Kahiula - Upanga Kalenga
Paul Mathysse- Masaki
Miraji Kikwete - Mikocheni
Langa Kileo- Mikocheni
Joachim Kimario - Masaki.
Mkuu una miaka mingapi hapo Dar ?langa kileo-upanga
langa kileo-upanga
Baba ake Langa Mzee Mengiseni Kileo anaishi pale Regency Mikocheni mda tu sasa labda kama wamerudi Upanga maana nina miaka minne sipo Tz .langa kileo-upanga
VANESSA MDEE
Usimuite huyu mtu atakuja na siridi ya malalamiko tena..hapaDeogratus kisandu.
Huyu Namruthi bini Kiganja huwa nasikia story kuwa " enzi za Mwlm alichota mihela mingi sana BOT,walipotaka kwenda kufanya auditing...mzee akaichoma bank na nyaraka zote zikaungua then akatimkia mamtoni,aliposikia mchonge ameenda to the point where there is no return na yeye akarudiNimrod Nkono-son
Wakuu,mnamzungumzia super Nyamwela yupi? Yule mkata viuno wa Twanga au? acheni maskhara wazee,miaka ya hiv karibuni nilishawah kuongozana naye toka Manzese big brother mpaka kwenye jengo la blue pearl Ubungo jamaa hakuwa hata na leso plus ufupi plus weusi plus kupauka halaf leo kumbe ana mapene uncountable..., kweli life has no formula na Mungu ambariki huko aliko!Hivi mkuu ni ishu gani iliyomtajirisha Super nyamwela? Ni muziki tu?
muuza ngada huyo...lile duka la nguo pale kino ilikua zuga tuHamna nyandu south alizamia kutafuta life kipindi kile miaka ya 2000....
Baada ya kurudishwa bongo akaanza Kufanya mishe za kiutu uzima.
Akapiga mpunga na kiukweli kibongo bongo hakuna msanii anamwingia jamaa ukitoa chibu, super nyamwela na labda masanja.
si kwel...Mesen selekta
Nafikiri hii ni sifa nzuri sana. Vijana wengi watafaidika wakimchukulia kama role model wao.Mukuu huyu alianza mzik akiwa kapuku kama watu wengne na had saiz maendeleo yake yanategemea muzik na ndo maana anajituma katika mzik