Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Mkuu super nyamwela invested wisely baada ya kupata mafao yake kwenye muziki alipo kua dancer.
Jamaa kafanya kazi na magwiji wa muziki kutoka Kongo kuanzia Pepe Kalle, Defao, Kanda bongo man, awilo longomba etc.
Na kwa kufanya kazi na wakongwe hao ndiko alikopatia utajiri wake.
Ok mkuu
 
Gwajima
Lady JayDee
Chidi Benz
Shilole
Sugu
Bitchuka
Juma Nature
Ali Kiba
Vanessa Mdee
Tunda Man
Mr Blue
Le Mutuz
Afande Sele
Omari Dimpo
Aisha Mashauzi
Mpoki
AY
Ruge
Lipumba
Mbwana Samatta
Ruby
........yaani list ni ndefu siwezi kumaliza leo, ngoja nilale tu.
Afande Sele apana.haukumsikia kwenye mkuki moyoni? Alimfuata mama yake Mtwara maza akamkataa akaingia kitaa kutafuta ela

"Kama unavyoelewa wenye pesa wengi waarabu ,nilivyo omba Kazi walitaka kwanza tarabu,washenzi hawana adabu.Afande sele-mkuki moyoni
 
Man x

Aliyeimba kama mipango, yote anapanga mwenyezi nimechezea bahati
Ft dully sykes
Sio sana maana mdogo wake yule mdada anayeimba copy ANETH KUSHABA na mzee wao anauza furniture pale keko duka lao linaitwa KUSHABA
 
Man x

Aliyeimba kama mipango, yote anapanga mwenyezi nimechezea bahati
Ft dully sykes
Duh, mwanangu umenikumbusha kitambo sana ulivyotaja ManX, enzi za Makongo secondary tulikuwa tunamuita Alex minondo, dah kitambo sana huyu Chalii, sijui yupo wapi? Kwa sasa
 
Duh, mwanangu umenikumbusha kitambo sana ulivyotaja ManX, enzi za Makongo secondary tulikuwa tunamuita Alex minondo, dah kitambo sana huyu Chalii, sijui yupo wapi? Kwa sasa
Nikiwahi kumuona katika interview moja nahisi ni eatv anahojiwa, akasema muziki ni basi anasimamia mali za kwao, kwao kuna mjengo mmoja maridadi na hata ile video yake na dully pale ni kwao.
 
Yaki ninaye mfahamu kuhustle saana iringa..maisha kawaida tu kapiga mtogwa labda kama sio huyu nnaemsema
true mkuu yaki kitambo hicho na akina amba, shaksi, beni,betaman akitamba na single ya unyoya, tulikuwa tunakula nae ugali na maharage kihesa kanisani pale kwakna amba
 
Back
Top Bottom