Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Hamna nyandu south alizamia kutafuta life kipindi kile miaka ya 2000....
Baada ya kurudishwa bongo akaanza Kufanya mishe za kiutu uzima.
Akapiga mpunga na kiukweli kibongo bongo hakuna msanii anamwingia jamaa ukitoa chibu, super nyamwela na labda masanja.
Jamaa yupo gud......
 
zaidi ya jux hakuna, asilimia 99 wanafanya mziki ili maisha yaende kwasababu wengine wao elimu hawana na pia wanatoka katika familia za kimaskini
Hakuna kivip mukuu akati majina yao yapo hapo juu akina dully sykes
 
Wakuu habari zenu leo nataka tuambiane wasanii ambao kwao mkwanja upo, ambao hawafanyi mziki kwa sababu ya njaa ila wanafanya kutokana na kujijua kuwa wanavipaji
Naanza na hawa
1. Future Jnl
2.Brown mauzo
3.Bonge la nyau
4.Bob junior
5.Jux vuiton

Unaweza kuongezea wengine unaowajua ww.....
SIWAJUI WOOTE WANAIMBIA WAPI?
 
Back
Top Bottom