incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
- Thread starter
- #101
Jamaa yupo gud......Hamna nyandu south alizamia kutafuta life kipindi kile miaka ya 2000....
Baada ya kurudishwa bongo akaanza Kufanya mishe za kiutu uzima.
Akapiga mpunga na kiukweli kibongo bongo hakuna msanii anamwingia jamaa ukitoa chibu, super nyamwela na labda masanja.