Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Huu ujinga wa mtoto wa kishua huwa siulewagi point mnawapa za nini? Kwa kutumia gari la wazazi wake au kukaa home?? Ni ufala.. ushua lazima uutengeneze mwenyewe [HASHTAG]#selfmade[/HASHTAG]...
Nani kakwambia ushua lazima uutengeneze mwenyewe? Watoto wa mabillionaire mfano Bill gates unataka watengenezaje ushua wao ? Kuna watu furaha yao ni kuwa na hela itayotosheleza vizazi na vizazi. We endelea kuita ujinga wenzako wanapambana kwa ajili ya familia zao.
 
Kuna Msanii Mmoja hamjamtaja na alikuwa wa kishua sana. Yaani kipindi anatoka ndio alikuwa Msanii pekee bongo anagari kali.
Alikiwa anawabeba kwenye gari yake akina Juma nature, Prof. Jay, JayDee, n.k na hapo alikuwa na single moja tu.
Huyu si mwingine ni Mnyaru a.k.a Mac Tee.

Anasema alianza kuendesha gari lake kabisa akiwa form I. Gari ambalo alipewa na Baba ake.
 
Huyu Namruthi bini Kiganja huwa nasikia story kuwa " enzi za Mwlm alichota mihela mingi sana BOT,walipotaka kwenda kufanya auditing...mzee akaichoma bank na nyaraka zote zikaungua then akatimkia mamtoni,aliposikia mchonge ameenda to the point where there is no return na yeye akarudi
Pia,inavyosemekana ni miongoni mwa wanahisa wakubwa sana wa club ya Manchester united (kwa hyo miongoni mwa watu waliowekeza fedha zao ndani ya hyo club ni pamoja na yeye) so,watu wakisema mwanae ni mtoto wa Kishua siwezi kukataa kwa ushahd huo!
Manchester hii hii ya wakina Paul Pogba na Lukaku???


Acha uongo
 
Baba yake anaitwa Nimrod Mkono...kama unamjua haina haja kupewa maelezo kwamba Nahreel ana ushua gani..
Hamna nahreel kwao n kawaida sana mbona jina kuona mkono msifikiri ndo yule mzee mwanasiasa nahreel wazaz wake wanaishi mabibo na mdogo wake mzee wake alishawahi kuwa mzee wa kanisa pale magomeni wana hela ila co steji ya kuitwa wakishua
 
BAHATI MBAYA WENGNE SISI HATUFATILII MAISHA YA WATU HVYO NI VYEMA UKAORODHESHA WASANII WOTE NA UTAJIRI WA FAMILIA ZAO ILI TUWE9E KUFANYA UPEMBUZ YAKNIFU
 
Ni baba ake mkubwa..utake ustake..
Wakisure ni Lucci tu
Watu hawajui wanadhani yule ndo mshua wake wakati mdogo ake nahereel anaitwa faith amesoma makongo na mwengine anaitwa nsia anasoma chuo kisicho na jina huko mtwara sasa watoto wa nimrod mkono watsoma sehem km hzo
 
Kama mtoto wa kishua ni kuwa na pesa nyumbani basi wa kishua miongoni mwa hao waliotajwa ni Nahreel peke yake!

Lakini kama wa kishua ni kuishi or from mitaa ya kishua; basi hapo sawa. Tusisahau, wapo kibao wanaishi/wanatoka sehemu za kishua lakini life lao sio kivile... unakuta ni ajira tu ya mshua au bi mdashi ndio inawafanya wawe citizens wa ushuani lakini linapokuja suala la vumba; kawaida tu!!
Nahreel co wa kishua kias hicho angekuwa wa kishua mdogo ake asingesoma makongo
 
Nahreel co wa kishua kias hicho angekuwa wa kishua mdogo ake asingesoma makongo
Ila hata mimi hapa napata ukakasi kidogo maana nakumbuka hata kilisababisha ajitenge na kundi lake la PER ONE.....kisa wenziwe walikuwa gud ila yeye hakuwa na pesa kiviile na ndio kisa cha yeye kuanza kudharaulika na kuonekana kama parasite...
 
Back
Top Bottom