shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,514
Tarabu mtandao pedwa.0713.zamani ulisifika sana kwa jina ilo tarabu kama ilivyo saivi chura.hahahTaaarabu hiyo ya mtandao pendwa au twaarabu ya mambo ya Pwan
Hahhhahahahahhahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarabu mtandao pedwa.0713.zamani ulisifika sana kwa jina ilo tarabu kama ilivyo saivi chura.hahahTaaarabu hiyo ya mtandao pendwa au twaarabu ya mambo ya Pwan
Hahhhahahahahhahahaha
Hata makonda alimtuhumu hivyo hivyo....muuza ngada huyo...lile duka la nguo pale kino ilikua zuga tu
sio bangi tu ila unga umemfikisha hapo! Anadai toka azaliwe amepanda bodaboda mara moja tuAnakwambia "Sishoneshi"...
Akiwa na maana eti yeye hashoneshagi suti, huwa ni mwendo wa Luis Vuitton tu!! Bangi hizi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kakwambia ushua lazima uutengeneze mwenyewe? Watoto wa mabillionaire mfano Bill gates unataka watengenezaje ushua wao ? Kuna watu furaha yao ni kuwa na hela itayotosheleza vizazi na vizazi. We endelea kuita ujinga wenzako wanapambana kwa ajili ya familia zao.Huu ujinga wa mtoto wa kishua huwa siulewagi point mnawapa za nini? Kwa kutumia gari la wazazi wake au kukaa home?? Ni ufala.. ushua lazima uutengeneze mwenyewe [HASHTAG]#selfmade[/HASHTAG]...
Hii shule ndio ya kimataifa pekee kwa huko Bongo kuna ya Moshi na Dar(Upanga na Masaki). Hayo mengine tupa kule.P funk alumni wa international school of Tanganyika,,,kuanzia primary to alevel
Siyo kwamba hana kipaji!?Hata Jokate nae alitoa ngoma moja akapotea hana shida na muziki
Manchester hii hii ya wakina Paul Pogba na Lukaku???Huyu Namruthi bini Kiganja huwa nasikia story kuwa " enzi za Mwlm alichota mihela mingi sana BOT,walipotaka kwenda kufanya auditing...mzee akaichoma bank na nyaraka zote zikaungua then akatimkia mamtoni,aliposikia mchonge ameenda to the point where there is no return na yeye akarudi
Pia,inavyosemekana ni miongoni mwa wanahisa wakubwa sana wa club ya Manchester united (kwa hyo miongoni mwa watu waliowekeza fedha zao ndani ya hyo club ni pamoja na yeye) so,watu wakisema mwanae ni mtoto wa Kishua siwezi kukataa kwa ushahd huo!
Hamna nahreel kwao n kawaida sana mbona jina kuona mkono msifikiri ndo yule mzee mwanasiasa nahreel wazaz wake wanaishi mabibo na mdogo wake mzee wake alishawahi kuwa mzee wa kanisa pale magomeni wana hela ila co steji ya kuitwa wakishuaBaba yake anaitwa Nimrod Mkono...kama unamjua haina haja kupewa maelezo kwamba Nahreel ana ushua gani..
Watu hawajui wanadhani yule ndo mshua wake wakati mdogo ake nahereel anaitwa faith amesoma makongo na mwengine anaitwa nsia anasoma chuo kisicho na jina huko mtwara sasa watoto wa nimrod mkono watsoma sehem km hzoNi baba ake mkubwa..utake ustake..
Wakisure ni Lucci tu
Unamjua nahereel fresh au umeona anaitwa noel mkono ndo unaona kwao n washuaBaba yake anaitwa Nimrod Mkono...kama unamjua haina haja kupewa maelezo kwamba Nahreel ana ushua gani..
Nahreel co wa kishua kias hicho angekuwa wa kishua mdogo ake asingesoma makongoKama mtoto wa kishua ni kuwa na pesa nyumbani basi wa kishua miongoni mwa hao waliotajwa ni Nahreel peke yake!
Lakini kama wa kishua ni kuishi or from mitaa ya kishua; basi hapo sawa. Tusisahau, wapo kibao wanaishi/wanatoka sehemu za kishua lakini life lao sio kivile... unakuta ni ajira tu ya mshua au bi mdashi ndio inawafanya wawe citizens wa ushuani lakini linapokuja suala la vumba; kawaida tu!!
Alkuwa capital radioHuku mziki si ndiyo umemtoa alikuwaga tu presenter wa Times FM au!!?
Ila hata mimi hapa napata ukakasi kidogo maana nakumbuka hata kilisababisha ajitenge na kundi lake la PER ONE.....kisa wenziwe walikuwa gud ila yeye hakuwa na pesa kiviile na ndio kisa cha yeye kuanza kudharaulika na kuonekana kama parasite...Nahreel co wa kishua kias hicho angekuwa wa kishua mdogo ake asingesoma makongo
hahaaaaa..Baba ake alikuwa mwenye kiti wa mtaa huko mtwara.