hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Bob junior umeshawahi kupajua kwao mkuu ??Bob Junior huyu huyu aliyekuwa analalamika Diamond hataki kumsaidia au kuna bob junior mwingne ?
kuna Bangalore moja la maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bob junior umeshawahi kupajua kwao mkuu ??Bob Junior huyu huyu aliyekuwa analalamika Diamond hataki kumsaidia au kuna bob junior mwingne ?
Huyo MZEE anapesa balaaBaba yake Nimrod Mkono,mtu mwenye uwezo mkubwa kiuchumi na kisiasa
sheta shetani huyuhuyu aliepewa gari na chief kiumbeShetta ze Don
Uyo njaaDiamond platnum
Ndo maana nimetangulia kusema "kama wa kishua ni kuwa na pesa home basi Nahreel".Nahreel co wa kishua kias hicho angekuwa wa kishua mdogo ake asingesoma makongo
Huyu nampata bob junior kwako kuna change na anaish maisha ya kisure hasa swala la kumtaka diamond amsaidie haina maana kuwa hana hela yawezekana alikuw nataka connection afu hata uwe tajiri kumbuka tajiri humkopa tajiri MwenzieBob junior umeshawahi kupajua kwao mkuu ??
kuna Bangalore moja la maana
jamaa alikuwa hajui hilo ..Bob junior kwao niwakishua na baba yake ndiye alikuwa boss wakina alikiba kina noorah mr .blue nawengine wengi...alikuwa anamiliki studio ya g.record na alikuwa anaimiliki just for funny hakuwa anataka kabisa mwanae ajihusishe na music...Huyu nampata bob junior kwako kuna change na anaish maisha ya kisure hasa swala la kumtaka diamond amsaidie haina maana kuwa hana hela yawezekana alikuw nataka connection afu hata uwe tajiri kumbuka tajiri humkopa tajiri Mwenzie
Mpaka Leo hiiHuyu kwao Kuna njaa kali
Leo hii mambo safi kwa juhudi zakeMpaka Leo hii
Nisha wa vichekesho vya mzee Majuto?Prodyuza Nisher...Baba yake ni Nabii anapesa hatari
Nisher video directorNisha wa vichekesho vya mzee Majuto?
Mtoto anaweza kuwa na wababa wengi kutegemeana na msimamo wa mamaake.
Huyu binti baba yake alikuwa Navy ni marehemu nadhani ni mwaka 1997 binti akiwa mdogo tu.Labda kama sio huyu msanii wa ubongo muovu.
Ok,simjui.Ahsante mkuuNisher video director
Aliyetengeneza listen-belle9, nje ya box - weusi, jikubari-ben pol, august 13-young killer ft fid q, na video nyngOk,simjui.Ahsante mkuu
Nakushukuru sana kwa kunielewesha mkuu.Nilikuwa simjui kabisa.Ubarikiwe sanaAliyetengeneza listen-belle9, nje ya box - weusi, jikubari-ben pol, august 13-young killer ft fid q, na video nyng
Mkuu hujipendiMagufuli Hassani