Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Gwajima
Lady JayDee
Chidi Benz
Shilole
Sugu
Bitchuka
Juma Nature
Ali Kiba
Vanessa Mdee
Tunda Man
Mr Blue
Le Mutuz
Afande Sele
Omari Dimpo
Aisha Mashauzi
Mpoki
AY
Ruge
Lipumba
Mbwana Samatta
Ruby
........yaani list ni ndefu siwezi kumaliza leo, ngoja nilale tu.
 
mbona simfahamu hata mmoja hapo. wanaimba mziki wa aina gani ao. au taarabu
 
Ahaaa mbn kuna tetesi zinasema yuko vere sana had anakaa south
Hamna nyandu south alizamia kutafuta life kipindi kile miaka ya 2000....
Baada ya kurudishwa bongo akaanza Kufanya mishe za kiutu uzima.
Akapiga mpunga na kiukweli kibongo bongo hakuna msanii anamwingia jamaa ukitoa chibu, super nyamwela na labda masanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…