barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ferooz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Unatania Bila shaka
Naona umemsahau bashiteGwajima
Lady JayDee
Chidi Benz
Shilole
Sugu
Bitchuka
Juma Nature
Ali Kiba
Vanessa Mdee
Tunda Man
Mr Blue
Le Mutuz
Afande Sele
Omari Dimpo
Aisha Mashauzi
Mpoki
AY
Ruge
Lipumba
Mbwana Samatta
Ruby
........yaani list ni ndefu siwezi kumaliza leo, ngoja nilale tu.
nani kakuambia wewe umeanza kumjua lini juma Mchopanga?Jay mo sio mtoto wa kisure buana,utakua haumjui vizuri wewe
Diamond platnum
Hahaa kutoka kuuza makopo to tajiriHuyu katokea ghetto la tandale, mama anauza mchicha baba mzururaji kususa Mke Na mtoto nasib.
Diamond katoka from the scratch, from poor to hero!!! Hongera zake sana!! Napenda sana anavyoimba na anakipaji cha muziki.
mbona simfahamu hata mmoja hapo. wanaimba mziki wa aina gani ao. au taarabuWakuu habari zenu leo nataka tuambiane wasanii ambao kwao mkwanja upo, ambao hawafanyi mziki kwa sababu ya njaa ila wanafanya kutokana na kujijua kuwa wanavipaji
Naanza na hawa
1. Future Jnl
2.Brown mauzo
3.Bonge la nyau
4.Bob junior
5.Jux vuiton
Unaweza kuongezea wengine unaowajua ww.....
Ndo maana hawa concetrate sana kwenye music kias kwamba hawapiganii kujulikana wao wanafanya tu uwajue usiwajue fresh tumbona simfahamu hata mmoja hapo. wanaimba mziki wa aina gani ao. au taarabu
Baba yake anaitwa Nimrod Mkono...kama unamjua haina haja kupewa maelezo kwamba Nahreel ana ushua gani..Sasa jamaa ana ukisure gani kwa mfano?
Huyu sio wakishua kahustle sana...Nyandu toz
Ahaaa mbn kuna tetesi zinasema yuko vere sana had anakaa southHuyu sio wakishua kahustle sana...
Hamna nyandu south alizamia kutafuta life kipindi kile miaka ya 2000....Ahaaa mbn kuna tetesi zinasema yuko vere sana had anakaa south