Tukumbushane: Wimbo bora wenye jina la kike...

Tukumbushane: Wimbo bora wenye jina la kike...

duh, zote kali but Mwanameka is the Best
NB
na umesahau V.I.P,
Ashura
Tausi
 
Neema wa Diamond musica aka wana Dar es salaam ikibindankoi ni moja kati ya nyimbo bora zenye majina ya kike
 
Hivi huu niliichezea kamari roho yangu nakuuza utu wangu, uliimbwa na nan na jina lake Je?
 
Najua ni long time tangu Uzi huu upite ila mtanikumbuka kwa majibu mazuri
 
Wakongwe naomba mfufuke kwenye huu uzi wenu tupate burudani
 
Old is Gold..at least nimepata nilichokuwa nikikitafuta kitambo....!
 
Mtoto Jacque by Juwata Jazz and Nico Zangakala
 
Back
Top Bottom